Kitu 'kiduku" kwa watoto...

ngoshwe

JF-Expert Member
Mar 31, 2009
4,131
931
DSC04988.JPG


DSC04990.JPG

HUYU Anaitwa Almasi anacheza kitu mama ntilie kilikuwa kikisikika hewani...

watoto%20yatima%20wa%20kituo%20cha%20wakicheza%20kiduku%20na%20wafanyakazi%20wa%20UBA%20walipowatembelea%20nyumani%20kwao.-8.jpg

Watoto yatima wa kituo cha New Hope Family for Street Children Centre, kilichopo Kigamboni, jijini Dar es Salaam, wakicheza Kiduku, wakati kufurahia misaada ya vyakula mbalimbali.
url


Kuduku.JPG


image%255B37%255D.png


.HAWA WAKICHEZA KIDUKU KATIKA SHEREHE YA KUMPONGEZA MAMA YAO
SIKU YAKE YA KUZALIWA ....

SDC18068.JPG


Hawa ni baadhi ya watoto walioko katika kambi ya kulelea watoto yatima,wazee na walemavu [Kaluande]wakicheza kiduku wakati walipotembelewa na wanafunzi wa shahada ya mawasiliano ya umma wa chuo kikuu cha Mtakatifu Agustino[SAUT]


IMG_9880.jpg

1.JPG
 
enzi zetu tulikua tukiruka "majoka" na kucheza "kwasakwasa"
 
  • Thanks
Reactions: awp
Huu mtindo unawapendeza sana wakicheza watoto...cha ajabu hakuna mtoto hasiyeweza kuucheza!
 
Wallahi tena ndo kishatuharibia watoto hivyo.

mkuu kucheza mziki ni kuharibu watoto kweli!!!basi sisi kaka na baba zao tutakuwa tumeharibika kupita wao maana tunaenda club hadi usiku wa hatari!
 
mkuu kucheza mziki ni kuharibu watoto kweli!!!basi sisi kaka na baba zao tutakuwa tumeharibika kupita wao maana tunaenda club hadi usiku wa hatari!
Mkuu kizazi chenu hakiwezi kufananishwa na cha sasa,hiki kinaitwa cha nyoka,mivao staili za kucheza na kila kitu vimeharibika ndo maana nikasema hivyo,enzi zile watoto wa kike waliruhusiwa kwenda disko na walirudi salama majumbani kwao,leo inawezekana kweli hiyo?
 
Back
Top Bottom