Lulu michael alikumbuka penzi la steven kanumba.....

keen umenena wanahukumu pasipokujua wao watahukumiwaje,yaweza kuwa wao ndo malaya zaid ya lulu.nampenda Lulu kwan kaumbwa kama mie,mikasa ni sehem ya maisha,nakuombea saana lulu Munguy akupe maisha marefu hapa duniani
Kama unajua ni malaya ingebaki
kuwa siri yako na ukachukua muda kumuombea kwa BWANA amuondolee hali
hiyo. Hata hivyo, neno linasema usihukumu usije ukahukumiwa. BWANA
akusamehe kwani hujui ulitendalo.
 
Hivi hukumu yake ni lini huyu malaya?

whats the definition of Malaya? Anayoyafanya - je Wewe hukuwahi kufanya, kuwaza kufanya, kumsaidia mtu kufanya hata kwa kuibia?

Let the one who is sinless be the first to cast the stone!!
 
kama mama namsikitikia sana huyu binti.......
Kinachonisikitisha zaidi ni kutopata mtu wa kumwelekeza anachotakiwa kufanya kwa sasa.
Ni kweli watu wanateleza na kuanguka, tunategemea baada ya kuamka unakuwa umejifunza kitu wakati upo chini na kubadilisha mwelekeo ili usianguke tena.
Kama hizi tweets kiukweli kabisa zimeandikwa na Lulu, basi huyu mtoto sasa anahitaji kurekebishwa kiaina nyingine. Kuendelea kumwonyesha kuwa bado mdogo hakutasaidia
 
hivi unapomtusi mtu ambaye hata umwona hujawah unajiskiaje??
hivi tuseme huko kwenu dada zako wote ni clean sana hadi ufikie hapa pa kumtusi huyu binti??

afterall mwenzenu kwa ku tweet tu kesha jiingizia siku nyiemnabakia kumbwela mbwela tu hapa.

hakuna sheria inayomkataza kusemea anavyojisia na hisia zake ziheshimiwe. wewe tukifungua page yako ya tweeter ama b ama emails zako tutakuta umeandia tungo za mapenzi kwa watu wangapi?? je tufungue na simu yako tuone sms za mapenzi ulizoandika kwa uwapendao??

heshimu uhuu wa mwenzio.

Umenena vyema mtu wa Mungu. Watanzania hupenda kutoa hukumu huku wakijisahau kuwa na wao ni wachafu. Kwa akili za kawaida c rahisi lulu kumsahau steve labda ..........
 
LULU MICHAEL ALIKUMBUKA PENZI LA STEVEN KANUMBA.....Wakati zikiwa zimebaki wiki chache tu hadi kifo cha Stephen Kanumba kitimize mwaka mmoja, aliyekuwa mpenzi wake, Elizabeth Michael aka Lulu kwa mara ya kwanza leo ameandika ujumbe kuhusiana na jinsi anavyomkumbuka.
Lulu aliachiwa kwa dhamana mwezi January mwaka huu baada ya kukaa mahabusu kwa takriban miezi minane kufuatia kukamatwa kwa kuhusika na kifo cha Kanumba.Lulu ambaye hivi karibuni amekuwa akitweet mara kwa mara ameandika:¡°Ulikuwa zaidi ya baba,kaka,mpenzi,mume,ndugu,rafiki¡-.sitoacha kukulilia katika maisha yangu yote!!R.I.P daddy angu STEVEN KANUMBA.¡±Akiambatanisha na picha ya Kanumba, Lulu ameongeza, ¡°I will alwayz love u daddy angu!¡±
Unaweza kumfollow Elizabeth Michael 6¥1Twitter kwa jina la hotlulumichael.
Amesema ya moyoni mwake.
 
Last edited by a moderator:
Jamani huyu mtoto angetulia akaachana na haya mambo kwanza
kesi ziishe ,aanze shule na kubadilisha system nzima ya maisha yake
 
Jamani huyu mtoto angetulia akaachana na haya mambo kwanza
kesi ziishe ,aanze shule na kubadilisha system nzima ya maisha yake

Shule ilishagoma siku nyingi, kumshauri atulie mtagombana. Hii ndo njia nyingine ya kumrudisha kwenye stage, wapo vijana wenye akili mbovu wanoamini kua vituko ndo vinawaongezea umaarufu.
 
Jamani huyu mtoto angetulia akaachana na haya mambo kwanza
kesi ziishe ,aanze shule na kubadilisha system nzima ya maisha yake

Shule ilishagoma siku nyingi, ukumshauri atulie mtagombana. Hii ndo njia nyingine ya kumrudisha kwenye sanaa, wapo vijana wenye akili mbovu wanoamini kua vituko ndo vinawaongezea umaarufu.
 
Watu jamani mtabadilika lini kama ujinga aliufanya huko nyuma bado tu unamuhukumu mtu kwa historia,acheni hizo bwana hata shetani akizeeka anakuwa malaika
 
amekumbuka utamu aliofundishwa na kuupata kwa kanumba, itabidi atafute mziba pengo kwani ukishazoea kuacha ni ngumu
 
kama mama namsikitikia sana huyu binti.......
Kinachonisikitisha zaidi ni kutopata mtu wa kumwelekeza anachotakiwa kufanya kwa sasa.
Ni kweli watu wanateleza na kuanguka, tunategemea baada ya kuamka unakuwa umejifunza kitu wakati upo chini na kubadilisha mwelekeo ili usianguke tena.
Kama hizi tweets kiukweli kabisa zimeandikwa na Lulu, basi huyu mtoto sasa anahitaji kurekebishwa kiaina nyingine. Kuendelea kumwonyesha kuwa bado mdogo hakutasaidia
Sikio la kufa halisikii dawa!wahenga walishamaliza kila kitu!
 
Shule ilishagoma siku nyingi, kumshauri atulie mtagombana. Hii ndo njia nyingine ya kumrudisha kwenye stage, wapo vijana wenye akili mbovu wanoamini kua vituko ndo vinawaongezea umaarufu.
Umaarufu wa kijinga anaotafuta!

Na ni wajinga tu,ndiyo watakaomuona wa maana!
 
Back
Top Bottom