Maandalizi ya kumpokea mume aliyesahau simu yake nyumbani

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,917
395529_10200307883518631_1453942526_n.jpg
 
:smash: Unaweza usiikute:smash:


.......................................
Historia haiishiwi wino.
 
Mimi nilipoifuata ya kwangu saa limoja tokea niisahau, nilimkuta kanuna,teenth of missed calls,all sms kazifuta, si unanijua tena mwana JF ,simu za akina LARA 1 ,NIMEZISEVU kama vile 1. low battery
2. M4C
Kidume nakamata simu narudi ofisini fasta,njiani natuma sms kwa M4C , :VIPI DEAR ULITUMA TXT YOYOTE MAANA SIMU NILISAHAU NYUMBANI NAHISI MAMA NGINA KAFUTA SMS ZOTE BAADA YA KUZISOMA, wakati wa ku i send ile sms najikuta mamtumia tena wife.
Wife kanuna ila makubaliano yetu ni kuwa KAA MBALI NA SIMU YA MWENZIO, sio yake wala yangu,mwongozo ndio ulioniokoa
 
Back
Top Bottom