Ndio kwanza tunaanza

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,894
155,917
206001_560520963976088_1639256296_n.jpg
 
Huo ni ubunifu mzuri sana. hONGERA VETA kwa jambo hilo. endeleeni na mtaona matokeo. Wenzetu wa Ufilipino walitengeneza ya kwao wakaiita Jeepney...ya kwenu mtaiita nini? Labda "VETANEY" yangu macho nasubiri nione likiingia barabarani na kuchukua abiria
 
Back
Top Bottom