Wema aja na Muonekano Mpya!

WEMA+SEPETU1.jpg
Mrembo na Miss Tanzania wa zamani, Wema Sepetu ameamua kubaki natural baada ya kuzinyoa nywele zake. Kupitia Instagram, Wema ameshare picha hizo na kuandika, ‘me apa nimenyoa nywele’. Ingia ndani kusoma maoni aliyoyapata baada ya kunyoa. ] citystarboutique Looking so young and freshhhhhh, lovely look 12min [ @ ] stevejns Daaaah …u loooks nycc jaman..y ukufanyaga hyo toka kitambo?..
kweli mwanamke ni nywele kama jini
 
Na kukaa uchi wa mnyama jukwaani ameacha au tutaendelea kuona makalio yaliyochoka kwakwenda mileage nyingi kama gari kutoka Dubai?
 
Mweee kipara kama King'amuzi cha startimes, hamna jipya hapo!

Ninataman sana kumuona mkeo au demu wako akiwa amenyoa kama Wema nione muonekaano wake.....mkeo anaweza tisha hadi hadi kupata tenda za kutumika kutishia watoto wakiwa wanakataa kula
 
Amependeza sana japo mie sio shabiki wake. Mawigi kama ya masanja mkandamazaji yanalostisha hasa mablonde!
 
Back
Top Bottom