Search results

  1. C

    Heri ya mwaka mpya kwa wanajamii

    Namshukuru sana Mungu kwa yote aliyonikubalia mwaka huu wa 2013; kubwa zaidi nimemaliza masters salama sio tu nimeongeza cheti bali fikra; kipato na cheo vimeongezeka; wadau wa jamii forum wamekuwa chachandu katika masomo yangu; na graduate mwakani najua wengi hamtakuwepo lakini ndani ya nafsi...
  2. C

    Hili ni tusi kwa waliopigania afrika!

    "Neno La Leo: Mugabe Ni Giza, Mandela Ni Nuru...! ( Makala, Mwananchi Jumapili)...
  3. C

    Hongera Mtoi Jiko kujipatia

    HONGERA KAKA Mtoi KUPATA JIKO Nakupa zangu hongera, mapenzi wayakubali Mtoi nakupa sera, Rehema katoka mbali Chadema wamejikera; maneno mali kauli Karibu kwetu Mlalo, harusi wetu kisura Maneno wayatupia, Rehema kayakubali Washenga wasafiria , Arusha kuyakabili Wajitwalia rupia, mahari ya...
  4. C

    CIA Director David Petraeus Resigns due to Extramarital Affair

    Mkuu wa CIA Gen. Petraeus amekabidhi barua ya kujiuzulu kuliongoza shirika la kijasusi la Marekani CIA kutokana na tuhuma za kufanya mapenzi kinyume na maadili ya ndoa; Raisi Obama amekubali kujiuzulu kwake. Uadilifu wa kiongozi unaanzia nyumbani; viongozi wetu Tanzania wanatakiwa wajifunze...
  5. C

    Hongera William Malecela AKA Le mutuz kwa kupita Wazazi-CCM

    Wanabodi; Kijana mwenzetu Le mutuz amepita kwenye uchaguzi wa jumuiya ya wazazi CCM; nachukua fursa hii kumpa pongezi za dhati kwa kupita kwake; siasa si lelema pamoja na kwamba hakupita kwenye baadhi ya chaguzi alizogombea lakini hakukata tamaa amepigana mpaka ametimiza azma yake kisiasa; hii...
  6. C

    Pongezi kwa diwani Gongo la Mboto Jerry Silaa

    Wanabodi, Kwanza nachukua nafasi kumpongeza diwani wangu mh. Jerry Slaa kwa kutekeleza moja ya ahadi zake za kuwapunguzia shida ya maji wakazi wa Gong la mboto; hii itasaidia kuwapunguzia adha akina mama bila kujali itikadi zao za kisiasa; wanabodi ni kawaida ndani JF kuongelewa mabaya ya mtu...
  7. C

    Africa yetu !!

    Kusoma si hoja mambo kwa kujuana jionee mwenyewe Your Story: Akida Chege - YouTube Chama Gongo la mboto DSM
  8. C

    Hata madaktari wanahusika na ukosefu wa vitendea kazi na wao wajiiangalie!!

    Baada ya hotuba ya mh. Raisi Kikwete inaonyesha wazi serikali imeanza kutekeleza madai ya madaktari; ipo tayari kwa majadiliano; moja ya dai kubwa la ni kukosekana kwa vitendea kazi; ni ukweli mtupu wapo madaktari wasio waaminifu wanahusika mojamoja kwa moja na upotevu/ wizi wa vifaa na kuviuza...
  9. C

    Mzalendo wa kweli ni nani?

    Kauli ya mh. waziri mkuu Pinda imeniacha nikujiuliza maswali mengi ni nani mzalendo wa kweli kwenye taifa hili. Mh. Pinda umedai madaktari wamekuwa si wazalendo kwa kitendo chao cha kuitisha mgomo nchi nzima; lingekuwa ni jambo la busara kama mh. Pinda ungeupima uzalendo wako kabla ya kuwatuhumu...
  10. C

    Sababu zitazoifanya CCM kuibuka kidume Arumeru Mashariki!

    Pamoja na upinzani unaonyeshwa na Chadema katika uchaguzi wa Arumeru Mashariki; CCM itaibuka na ushindi wa kati ya asilimia 51-55; zipo sababu nyingi lakini hizi ndizo hasa zitazoipa CCM ushindi 1. Sera za CCM pamoja na kwamba serikali ya CCM imeshindwa kutekeleza baadhi ya sera zake bado...
  11. C

    William Malecela Baharia mbona kimya

    Tupe taarifa za ziara yako naona upo kimya sana kulikoni!! Tunasubiri kwa hamu au ndio tuseme kimya kingi kina mshindo mkuu!! Chama Gongo la Mboto DSM
  12. C

    Ajali ya Nungwi ni fundisho au muendelezo wa porojo za wanasisa wetu?

    Watanzania bado tupo kwenye majonzi ya ajali iliyoikuta MV. Spice Islander. Hakuna ukweli usiokificho ajali hii ingeweza kuepukwa kama watu walio kwenye mamlaka husika wangetekeleza majukumu ya kikamilifu, uzembe na tamaa ndio sababu kubwa ya ajali hii. Kinachosikitisha ni serikali na wanasiasa...
  13. C

    Another Mufti from the other side! Does his views reflect views of all christians?

    Cleric rallies support for President Kikwete By Devota Mwachang`a 31st March 2011 Gospel Revival Centre pastor Anthony Lusekelo has called on Tanzanians to stop blaming President Jakaya Kikwete for problems facing the country, and instead support him in ruling the nation better. The cleric...
  14. C

    Kulikoni magazeti ya Tanzania?

    Wakati dunia nzima ikifuatilia matukio na ghasia za kisiasa zilizoanzia Tunisia na sasa Misri, inashangaza kuona magazeti Tanzania yasivyotoa kipaumbele kwa habari za matukio ya kisiasa yanayoendelea Misri, ninachojiuliza wahariri wa magazeti hawaoni umuhimu wa matukio ya Misri ama watanzania...
  15. C

    Dream team ya michuzi

    Michuzi anadai kikosi hiki kikosi ni dream team, je watanzania tutegemee kitu gani kutoka kwa viongozi hawa? sioni sura mpya hapa, mwendo mpya, kasi mpya..........
  16. C

    Viongozi hao wajadiliwe na Bunge kabla ya kushika nafasi zao.

    Ili kuongeza tija na ufanisi kwa watendaji wakubwa serikalini ni vyema bunge lipewe mamlaka ya kuwajadili na kuwaidhinisha watendaji wakubwa serikalini. Viongozi wanaopaswa kujadiliwa kwa kina : 1. Mawaziri 2. Mkuu wa majeshi 3. Mkuu wa jeshi la polisi 4. Majaji wa mahakama kuu/ Rufaa 5. Wakuu...
  17. C

    Chadema hongera!

    Mafanikio ya chadema katika uchaguzi huu makubwa na yanastahili kupongezwa na kila mtanzania anayeitakia mema nchi hii. Hakuna kificho kuwa Chadema wamedhulumiwa ushindi; hata sisi wanaccm tunayoitakia mema nchi yetu tunaona aibu kutembea vifua wazi kusheherekea ushindi huu. Hii ni sawa na baba...
  18. C

    Serikali ya ccm na uwekezaji !

    Uwekezaji huu ni kwa manufaa ya watanzania wote au kikundi cha mafisadi? kuna taarifa kuwa serikali imesaini mkataba na kampuni ya Orphir Energy ya mjini London mkataba wa $50m kuchimba mafuta baharini sehemu za Mtwara kutokana na makubaliano ya mkataba huo Tanzania itapata asilimia 12 ya mapato...
  19. C

    Elections 2010 CCM hii kiboko !

    Bado naikumbuka ccm ya Mwl. Nyerere; wakati ule chama kilikuwa na maadili na miiko ya uongozi. Chama hakikuwa sahihi 100% lakini angalau kilikuwa kikimjali kila mtanzania. Wengi tulitegemea ccm kingemuendeleza mtanzania hasa kwenye kipindi hiki cha vyama vingi, leo hii chama kimegeuka kama club...
  20. C

    Elections 2010 Makamba panga safu yako ya kampeni upya !

    Mheshimiwa Makamba, uliwahi kufukuzwa kazi ukiwa kama mkuu wa wilaya, uliondolewa si kwa utendaji wako mbaya wa kazi bali wakuu wengi wa idara wilayani kwako walikuangusha. Ukiachilia mbali siasa umekuwa mchapa kazi mzuri sana. Katika kipindi cha uchaguzi kampeni za CCM zisilenge kwenye kutoa...
Back
Top Bottom