Naomba kuuliza wakuu,!hivi kuna mtu yeyote ambaye ameriport chuoni walikomuhamishia na kufanyiwa registration??maana niko gizani na vyuo vingi tayar walianza kusoma ni takribani mwezi unaisha!!!ingali TCU hawajatoa tamko lolote juu ya swala hili.
Tcu ilitakiwa watoe angalau siku tatu kwa ajili ya kufanya payment for transfer approval lakini wametoa siku moja tu kwa kila batch. Poleni sana watu mlio mbali na huduma za kibenki na za internet kwa kukosa nafasi za masomo, kwa sababu tu ya muda wa kufanya malipo ya transfer(transfer fee)...
Wadogo zangu si vilaza kama wewe unaeshabikia vyuo hata kwenye maswala ya kijinga,badala ya kuangalia mustakabali wa maisha yako.wadogo zangu ni wadogo kuliko wewe ila wanajitambua kuliko wewe na abadani hawawezi kufuata ushauri wa kilevi kama wako,textile design itamsaidia nin mdau hapo...
You need to be legendry on this??? Thanks but idon't have a time to emulate with hoax - kins who manipulate and lapse people in the explicity like this!!.So let me be laconic.
sawa mkuu,lakini kuna ulazima gani kwa mtu aliepata div1/2 kuchagua textile desgn Udsm,??wakati anaweza kuchagua kozi kama civil pale DIT,MUST,SAUT,geology pale UDOM n.k na akawa na uhakika wa ajira?
Afanye maamuzi ya kubadilisha mapema,!! Na haya mdio madhara ya kuipenda udsm kwa kufuata mkumbo wakati kuna cozi nzuri tu ktk vyuo vingine!!!pole sana dogo.....
Yaan,fanya fasta mwisho tar 15, ikifika tar 13 hata zile cozi zisizopendwa kabisaa,zitakuwa full. NOTE kuna watu zaidi ya 10000 wa kufanya 2nd round na available slots ni chache.na wanataka watu wengi watupwe nje thus why wameweka siku 5 tu.
Coz hii inahusu kilimo cha mbogamboga(hasa bustani) ni nzuri sana kwa kujiajiri(endapo utapata maeneo yenye miundombinu mizuri pembezoni mwa dar es salaam na pwani) lakini ukitaka kuajiriwa ajira zake ni finyu sana na hakuna maslahi sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.