Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,127
- 11,909
hayo maneno uliyo sema YOU HAVE SUCCEFULLY SELECTED mimi kama mimi sijawahi kuyaona hapo kwenye kibox cha application bali nilikua nayakutaga kwenye my profile-VIEW MY SELECTION STATUS tena pale chini mwisho, sasa sijui kama wengine wanayakuta hayo maneno kwenye application icon labda mnijuze wakuu.
apo gudah....
yah ipo tena bolded kwa rangi nyekundu... kama huyakuti basi utakuta mengine yaki ku direct kwenye kozi zilizo wekwa ili umchague tena na kama ukifungua form yako utakuta juu kuna vibox vi
application selected prog. add IV sit add VI sit na profile
kwahyo ukiona iko kibox chakwanza application kinabonyezeka (kitakua kimekozwa na wino mweus) basi wewe unatakiwa uapply haraka sana ila kikiwa kimepauka akibonyezeka basi ur safe... au kibox cha selected program kikiwa kimepauka hakibonyezek basi ujue fika haujachagua kitu so ur not safe go for to application uapply tena