mickyMICKIZ
Member
- Aug 19, 2013
- 39
- 3
kama profile haijabadilika kuna sehem nyingine wanayoonesha kuwa umekubaliwa kubadiri chuo ama vp!!
Nami pia Duce mkuu. Nilienda juz wakanijibu kama wewe tu. Kesho nafuatilia TCU
Transfer nimepata na pesa nimelipia ya transfer sasa sijui kifuatacho ni nini !
Je ! naenda kuripoti nilipopangwa au nasubiri TCU tena ?