UGARI MAHARAGE
Member
- Sep 10, 2014
- 20
- 0
Tcu ilitakiwa watoe angalau siku tatu kwa ajili ya kufanya payment for transfer approval lakini wametoa siku moja tu kwa kila batch. Poleni sana watu mlio mbali na huduma za kibenki na za internet kwa kukosa nafasi za masomo, kwa sababu tu ya muda wa kufanya malipo ya transfer(transfer fee) kuwa mdogo.