Deadline ya 'second round application' kwa TCU ni lini?

Jun 17, 2013
74
8
Samahani wana jumvi kunarafikiangu anataka aje tarehe 16 nimsadie kufanya application ya second round, japo anafahamu kuwa akichelewa ndivyo hivyo atakuta zile course nzuri zimejaa but she do'nt care about.
 
kumbe mnajua kuna course nzuri.......ha ha haha ha
 
Yaan,fanya fasta mwisho tar 15, ikifika tar 13 hata zile cozi zisizopendwa kabisaa,zitakuwa full. NOTE kuna watu zaidi ya 10000 wa kufanya 2nd round na available slots ni chache.na wanataka watu wengi watupwe nje thus why wameweka siku 5 tu.
 
Baada ya kuadimika kwa muda kidogo kutokana na kazi....sasa Mbwiga88 nimerudi tayari kwa majukumu yangu ya kuhabarishana na wana jamvi humu ndani...kwa wanaonifahamu vizuri wanatambua mchango wangu katika ku wa update na habari mbalimbali za TCU na selection za vyuo hapa jamvini mnamo mwaka 2013.......in 7 days from now nitakuwa nawaletea habari kutoka ndani ya TCU as they happen.....kwa sasa nakaribisha maswali and any queries...i will be happy to help in any way possible.......my Reputation preceds me....
 
Suza university nilikiona kwenye kitabu nilivyo taka ku aplly kikagoma nasikia mpaka ukachukue form kule utanisaidiaje mkuu nakihitaji
 
Nimejiuliza sana huyu mtu Mbwiga88 yukwapi coz nilisikiaga habari zako....mzee wa kunyetisha habari za jikoni.....poa me nina wadg zangu wanasubiri kuingia MZUMBE/MUHAS nakusubiri tu mkuu.....kuwa makini usikamatwe humo ndani......ha ha ha ha....mzee wa kunyetisha....RESPECT!!!!!
 
Last edited by a moderator:
dogo kaomba second round juzi, lakini tangu hapo course zinabalika badilika kila wakati inamaanisha nini sasa!!
 
Asante mkuu ni majukumu tu ya kazi zetu hizi yalinifanya nipotee kidogo......bt tupo pamoja...SHUKRANI
 
dogo kaomba second round juzi, lakini tangu hapo course zinabalika badilika kila wakati inamaanisha nini sasa!!
Kama ilivokuwa imetanabaishwa awali suala la second round ni first come first served so hilo suala lako hapo juu huwa linatokea incase baadhi ya course zile slot zilizokuwepo zimekwisha so huwa inatoka kwenye zile options....i hope nimejibu swali lako
 
Back
Top Bottom