Deadline za TCU

Sep 10, 2014
20
0
Tcu ilitakiwa watoe angalau siku tatu kwa ajili ya kufanya payment for transfer approval lakini wametoa siku moja tu kwa kila batch. Poleni sana watu mlio mbali na huduma za kibenki na za internet kwa kukosa nafasi za masomo, kwa sababu tu ya muda wa kufanya malipo ya transfer(transfer fee) kuwa mdogo.
 
No transfer anymore na inamaanisha mda uliopewa wa kulipa transfer fee ukipita ndo basi tenaaaaa imekula kwa mtu,au?
 
Mwenye mawasiliano mengine na tcu please atuwekee hapa, zile contacts walizoweka kwenye web yao simu hazipokelewi
.
 
wana jf mbona 2nakuwa waongo kiac hcho km ujui nyamaza kulkokuandika vi2 ambavyo huna uhakka hakuna transfer znazoendelea wapendwa kwanza tcu wanajiandaa kuvunja kamati hv soon 2tafute chakufanya 2 kwa wale ambao kmenuka kla sehem au nenda chuo cha awal
 
Back
Top Bottom