BSc in Textile Design and Technology

Achana na hizi major uchwara utapoteza muda tu. Viwanda vyenyewe viko wapi
 
C lazima uajiriwe unaweza kujiajiri kwa kuanza kufuma vitambaa vya kwenye makochi na vibagharashia ili mradi uwe na cherehani tu

Chuo miaka mitatu sijui minne ili uwe fundi cherehani! Si bora uanze kujifunga sasa cherehani kuliko kupoteza muda na pesa, mafundi kibao mtaani wana shona kinoma na hawa hizo degree za ucherehani
 
dah nakumbuka hiyo course niliweka chaguo la mwisho nikachaguliwa hiyo hiyo ila mda wa kuanza semester ya kwanza kuna kozi tukawa tunafundishwa kutunga uzi, kuingia kwenye practical tukakutana na vyerehani vya kutosha. ila mwisho wa siku nili quit na kuomba course upya. ushauri wangu kama umechaguliwa hiyo na huna passion nayo fanya utaratibu ubadilishe wakati TCU wanafanya transfer, ila kwa chuo huwezi kukubaliwa kubadilisha hiyo course kwa sababu ni mpya, ina watu wachache, pia kila mtu aliyechaguliwa anataka kuhama.
 
Kuna mwana wangu nae alichaguliwa hio course alipofika udsm walimzingua kuchange,alisoma mwaka mmoja now yupo ardhi anapiga environmental engineering
 
Hahahaa,unampata sio,anaitwa izy white flan hv,na dada mmoja pia ustadhat hv,wote wapo aru naingia nao 2nd year sema mm napiga geomatics,aliniambia issue za hio course,full vyerehani na kuchange unabaniwa,yy aliona jina textile engineering bas kufika kalikuata jina textile design,kapapatua wakamwambia hapo hapo hutoki,mwisho wa mwaka akala kona
 
ndio huyo huyo namjua mzuri kabisa
 
Afanye maamuzi ya kubadilisha mapema,!! Na haya mdio madhara ya kuipenda udsm kwa kufuata mkumbo wakati kuna cozi nzuri tu ktk vyuo vingine!!!pole sana dogo.....

Hio course haina watu so pale udsm ukichaguliwa ndio umechaguliwa,yaan hawakubadilishii hata kwa vifaru labda prof mukandala awe ndugu yako tena wa damu
 
Daah mwanangu iyo fakat udsm pale hadi wenye div four wamechukuliwa

Hiyo ni degree programme siyo facult dogo, ila utajua vizuri ukipata admission ya chuo hafu UDSM hakuna course ya wanafunzi wenye div 4 angalia vizuri wamechukua dv1 na 2 peke yake hivyo vyuo vingine ndo wameachiwa makapi
 
Hahahaa,unampata sio,anaitwa izy white flan hv,na dada mmoja pia ustadhat hv,wote wapo aru naingia nao 2nd year sema mm napiga geomatics,aliniambia issue za hio course,full vyerehani na kuchange unabaniwa,yy aliona jina textile engineering bas kufika kalikuata jina textile design,kapapatua wakamwambia hapo hapo hutoki,mwisho wa mwaka akala kona

mmmhhh nahisi nakufaham ndugu......ha ha ha ha ha
 
Hiyo ni degree programme siyo facult dogo, ila utajua vizuri ukipata admission ya chuo hafu UDSM hakuna course ya wanafunzi wenye div 4 angalia vizuri wamechukua dv1 na 2 peke yake hivyo vyuo vingine ndo wameachiwa makapi

sawa mkuu,lakini kuna ulazima gani kwa mtu aliepata div1/2 kuchagua textile desgn Udsm,??wakati anaweza kuchagua kozi kama civil pale DIT,MUST,SAUT,geology pale UDOM n.k na akawa na uhakika wa ajira?
 
Hiyo ni degree programme siyo facult dogo, ila utajua vizuri ukipata admission ya chuo hafu UDSM hakuna course ya wanafunzi wenye div 4 angalia vizuri wamechukua dv1 na 2 peke yake hivyo vyuo vingine ndo wameachiwa makapi
Ulivoanza kunirekebsha nikakuona bonge la m2 anayejua v2 ila nlivoendelea kusoma ndo nmekuzarau kwel
 
Back
Top Bottom