Search results

  1. pamiho

    Mtendaji Mkuu wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania alazimisha watumishi kuchangia maafa ya Katesh kuanzia 20,000-50,000

    Habari za asubuhi? Baada ya serikali kuyaomba michango mashirika yake ya Umma, yeye ameamua kuwalazimisha watumishi kuchangia (kwa kukatwa) posho zao kuanzia 20,000 na kuendelea ili aweze kupeleka kwa wahanga wa mafuriko. Hali hii imezua maswali mengi sana miongoni mwa watumishshi hasa...
  2. pamiho

    Natafuta mume,umri kati ya 37-42

    Nahitaji mume mwenye uhitaji wa mwanamke. Awe mkristu mcha Mungu, awe mchapa kaza(kazi halali). Awe tayari kupima UKIMWI, awe tayari kuwa baba wa familiaa. Pm ni kwa mwenye uhitaji tu!
  3. pamiho

    ujumbe

    Mimi naipenda picha hii!
  4. pamiho

    Mali bila daftari hutumika bila habari..

    Kuandika habari kuhusu mapato na matumizi ni mhimu sana ktk biasha bila kujali ni ndogo au kubwa.
  5. pamiho

    Jamaa amnasa vibao afisa uhamiaji

    Kaka mmoja mwenye asili ya Somalia, raia wa Kenya anayesoma nchini Malaysia, wiki iliyopita alijikuta akizua zogo kwenye ofisi ya uhamiaji. Tukio hiko lilitokea mida ya asubuhi baada ya kaka huyo ( anajiita Mzee) kumpatia passport mhudumu (dada) naye akaipokea passport kwa kutumia tissue paper...
  6. pamiho

    Msaada juu ya spss!

    Salaam wana JF. Natumia data analysis software (SPSS) nimekwama kwenye kipengele cha ANOVA jinsi ya kuelezea. Mwenye kujua vema tafadhali naomba anisaidie. :embarrassed:
  7. pamiho

    Nahitaji msaada kuhusu spss

    Salaam wana JF. Natumia data analysis software (SPSS) nimekwama kwenye kipengele cha ANOVA jinsi ya kuelezea. Mwenye kujua vema tafashali naomba anisaidie.
  8. pamiho

    Uchungu wa mwana aujuaye mzazi

    Katika pita pita zangu nimekutana na ugomvi huu wa ngedere na mbwa. Mbwa alikuwa akitaka kumla mtoto wa ngedere (ngedere mdogo).
  9. pamiho

    Mhitimu wa degree aaaarrrrrrgggg..........

    Hii style yake huyu mdada imeniacha hoi.
  10. pamiho

    Mafuriko Kedah

    Mvua zilizonyesha kwa muda wa siku 4 mfululizo zimesababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi wa eneo la Kedah nchuni Malaysia kama inavyoenekana ktk kielelezo nichoambatanisha. Chanzo ni mimi mwenyewe nikwenda huko kwa matembezi.
  11. pamiho

    Inakuwaje mafisadi kugombea ubunge ikiwa walishaonekana hawafai?

    Hivi inakuwaje Lowasa ambaye alilazimika kuachia ngazi ya uwaziri mkuu kwa makosa aliyoyafanya anendelea kugombea? Je ni uhaba wa watu safi wenye uwezo wa kugombea, au ni ufinyu wa mawazo ya wanaohusika kuchunguza mambo hayo? Je kuna kupiga vita ufisadi kweli ktk nchi hii? Na je watakuumbatiwa...
  12. pamiho

    Mambo ya mila yananinyima usingizi....

    Nahitaji ushauri wenu wana JF, mimi nina rafiki ambaye tulifahamiana toka niko sekondari kama family friend. Tulipoteana kwa muda wa miaka 8 hivi kisha tukaaza kuwasiliana tena mwaka huu (family friendship) tukaaza kuwa na mawasilanao ya kimapenzi ingawa tuko mabara tofauti tukitafuta elimu...
Back
Top Bottom