Search results

  1. Johnsecond

    ITV Kijiwe cha makanjanja

    Wakati msomaji wa taarifa ya habari saa mbili usiku jana anasoma alisema hivi "Mengi amesema kuwa watanzania waige mfano wa rais kikwete katika kuchukia umaskini" wakati najiandaa kumuondoa Mengi kwenye list yangu ya watu ambao niliwaamini angalau kidogo, mengi akawekwa hewani hakusema kitu...
  2. Johnsecond

    Tofauti ya magufuli na wenzake !

    Ukimsikiliza kwenye media magufuli akieleza kitu utajua huyu ndo chapakazi, akisema malori yanaharibu bara bara zake utajua huyu anafuatilia sana haya mambo. Ebu ona bara bara ya kutoka mombasa hapa dar mpaka kamata ambayo haipitwi na malori mazito lakini mawimbi chapa chapa na kuna kipande...
  3. Johnsecond

    Eti jeshi linamtetea aliyeua watoto

    Haiingii hakilini jeshi kusimama na kumtetea meja aliyeua watoto waliokuwa wakisherehekea sikukuu ya mwaka mpya. Hivi chombo kama jeshi kinaweza kuwa kinakurupuka hivi jamani, inamtetea kwanza hakijui mazingira ya tukio kwa sababu aliyekuwepo ni mtuhumiwa peke yake na hao watoto, wamewauliza...
  4. Johnsecond

    Tanzania huru inakuja

    Ukombozi wa wamarekani weusi ulionekana ni ndoto pale alipopigwa risasi Martin Luther King Jr, rais Keneddy na Malcom X. Lakini kwa kuwa mabadiriko hayakuwa kwa hao watatu pamoja na kufa kwao ukombozi ulipatikana na sasa tunashudia Nigro anaongoza Marekani. Zitto utakaa sawa sawa kwenye vitabu...
  5. Johnsecond

    Tatizo la ajira Tanzania Na Upeo wa kufikiri

    Wapo watanzania ambao wanashabikia watanzania tupigane vita na rwanda nimefikiri na kujiuliza huyu anayetaka vita ni kwa nini anataka hivyo?? nikasema anataka heshima ya nchi?? nikaona heshima haiji kwa kupigana vita -heshima ni kuwa na pesa na kutatua matatizo ya nchi, mapenzi kwa rais wetu...
  6. Johnsecond

    Imewahi kukutokea hii??

    Wakati kijana niliogopa sana kuwa na wapenzi wengi ila ilikuja ikatokea nikawa na wengi japo walipungua mpaka akabaki mmoja. kilichosababisha ni hiki hapa; nilikuwa nikimtongoza msichana akikataa naachana naye natongoza mwingine akikataa naenda kwa mwingine lakini kwa vipindi tofauti. Kumbe hawa...
  7. Johnsecond

    Voda wanatuibia jamani

    Ukijiunga kwenye huduma ya kupoiga mitandao yote, service yaweek dakika zinaisha haraka sana huwezi amini ndani ya siku mbili tu. Wakatihuo huo dakika hizo hizo ukijiunga nazo airtel au tigo unadumu nazo nahuzimalizi. Urais tutachangia bila kupenda ndugu zangu.
  8. Johnsecond

    Nimeipenda sana strategy ya CHADEMA

    Sasa hivi uchafu uchafu wote unatoka ambao ungewasumbua close to 2015, sasa swali langu nauliza huu unaotoka unajichuja wenyewe au unashindwa kustahimili displine za usafi? Nawapa hongera sana CHADEMA bora muwe na viongozi wachache sana wasafi kuliko kuwa na lundo wachafu. Wapiga kula ndio tupo...
  9. Johnsecond

    Hongera Dr. Slaa sana sana

    Nakupongeza sana Dr. Slaa kwa kusema ukweli wako kabisa na tumekuelewa. mara ya Kwanza nilidhani hizo pesa uliiba kama wenzetu wanaoiba pesa ya na rasilimali za Taifa, kumbe umekopa ambayo maana yake utarudisha hizo pesa. Ni bora uliyesema ukweli kuliko serikali iliyoshindwa kumshika Chenge...
  10. Johnsecond

    Ufafanuzi kuhusu majeshi yetu

    Hivi karibuni na toka zamani nimesikia watu wakisema jeshi letu lina nguvu sana na lina wataalamu wazuri. Hivi wanaosema hivyo huwa wana reference za kutosha au wana viashiria vinavyoonesha uzuri wa jeshi letu au walimezeshwa maneno aliyosema Nyerere wakati wa vita vya Idd Amin? unapojibu angali...
  11. Johnsecond

    Ipi Sera nzuri ya ununuzi wa magari?

    Uganda: Gari jipya kodi kubwa, kwamba aliyeweza kununua gari jipya anaweza kulipa kodi kubwa, gari used kodi ndogo huyu ni mlala hoi. Tanzania: Gari used Kodi kubwa hatutaki magari chakavu, gari jipya kodi ndogo tunataka magari mapya. My take: Nadhani Tanzania inatawaliwa na mafisadi ambao...
  12. Johnsecond

    January Makamba na Mikwala ya Ki-CCM

    Huyu kijana alitema cheche sana wakati anapata uwaziri sijamsikia tena akishughulikia zile kero za makampuni ya simu. Mwenye taarifa za utekelezaji wa mikwala yake anijuze. Au ilikuwa CCM style, kujivua gamba,
  13. Johnsecond

    Naomba kujuzwa - African Barrik Gold

    Kila siku naona nafasi za kazi kwenye magazeti za hawa watu wanafanyakazi wengi sana?? Maana nadhani kama si hivyo basi wananyanyasa watu na hivyo kila siku watu wanaacha na wao wanaendelea kuajiri. Naona magazeti yananeemeka sana na hawa watu. Sababu ni nini?
  14. Johnsecond

    Sababu za kufeli kwa zoezi sensa

    1. Mgomo wa walimu, wametumia walimu waliogoma na wameenda kupata pesa tu na sio sensa 2. Serikali kandamizi, ingeweza kuongea na waislamu wakakubaliana. mabavu sio suluhu 3. Mgawanyiko wa wanajamii, raia wengi hawaiamini serikali 4. Ahadi nyingi walizoahidiwa hazijatekelezwa iweje leo uwaambie...
  15. Johnsecond

    Kaka Pinda nisikilize

    Kaka Pinda kama unajiona ni msafi ondoka huyu jamaa (JK) si wakufanya naye kazi. Utaingia kwenye mgogoro mkubwa sana na wananchi wako nakuomba sana mwachie nchi na wenzake. Ujue ukitaka kumlizishe unamlizisha yeye peke yake jamii yote unaiacha. Ni hilo tu, wenzio wanajijua na wanagawana...
  16. Johnsecond

    Wapo Redio - Pata pata

    Naipenda sana hii redio nisichopenda ni mambo yenu ya kikanisa mnatuletea wachungaji kwenye pata pata wasio na upeo wa kuelewa mambo yanaendaje duniani harafu mnawapa coverage kubwa kwa nini? kwa mfano mmetuletea mtu wenu wa kanisani wiki iliyopita akihubiri eti kuwa katiba ni matakwa ya watu...
  17. Johnsecond

    Kikwete, Unatuchanganya bwana!

    Inakuwaje uteuzi wako wote ukanyooshewa vidole? Unamwakilisha nani hapo? kama ni wananchi mbona watu tuliowakataa kwenye kura wewe unawapa madaraka? Mimi kwa kweli inaniuma sana hasa kipindi hiki cha huyu jamaa. Basi bwana; weye mshindi . . . .
  18. Johnsecond

    Nauliza tu: NHC walishalipwa pango?

    Nilimuona jamaa akiwa na tempa nzuri sana mapaka akawatolea habari maelezo vyombo vyao nje akasema taasisi zote za serikali na watu binafsi wasiolipa mwendo ni huo huo, muda aliotoa umeshaisha au bado? Nina wasi wasi kanyamazishwa na serikali ya kifisadi. Nawakilisha
  19. Johnsecond

    Hivi wanaume tukiamua kuwa na mmoja mmoja si itatokea vita?

    Huwa nawaza kama wanaume tukiamua kuishi na mke mmoja tu no kuchapa nje, na wale wasiooa anachapa mmoja na huyo ndiye anayemuoa, si kutatokea vita jamani? Naomba maoni yenu wana jamii.
  20. Johnsecond

    Ukisikia Pinda ni mnafiki ona sasa haya

    Nimesoma mwanahalisi la leo kumbe Pinda na Makinda nao walisaini pesa za jairo ili hali wenyewe serikali inawalipia kila kitu. Hao wawili walisaini kila mmoja 280,000 kwa kikao kisichozidi dakika 40. Sasa huyu ndo yule aliyekataa shangingi na ndio maana alikuwa mstari wa mbele sana kutetea...
Back
Top Bottom