Wapo Redio - Pata pata

Johnsecond

JF-Expert Member
May 4, 2010
1,076
211
Naipenda sana hii redio nisichopenda ni mambo yenu ya kikanisa mnatuletea wachungaji kwenye pata pata wasio na upeo wa kuelewa mambo yanaendaje duniani harafu mnawapa coverage kubwa kwa nini? kwa mfano mmetuletea mtu wenu wa kanisani wiki iliyopita akihubiri eti kuwa katiba ni matakwa ya watu wachache tena ni wana siasa harafu akjawa anawadanganya wakristu eti kuwa yeye ni mwanaharakati, leo tena namsikia mwingine mmemleta anasema kuyumba kwa uchumi wananchi msiilaumu serikali eti kwa sababu ni nchi zote hata marekani. watu wa aina hii upeo wao mdogo, kwa jirani wakilala na njaa basi watoto wako hawana right ya kukwambia baba kwa nini sisi tunalala njaa? Serikali ilipaswa kuchukua hatua madhubuti ili kuwezesha wananchi wake kujikwamua kimaisha na sio kulala tu.

Nawashauri watu wa aina hii mimi wananifanya nisiipende redio hii, Ritta, Ambwene, Anthon n.k mmenisikia lakini?
 
sasa unanitakia mabaya, wale ndo hamnazo. wapo mimi sina tatizo na watangazaji ila kuna habari du hazielimishi jamii
 
Wamezoea kudanganya waumini huko makanisani. Wasituletee hizo kamba zao.
 
Back
Top Bottom