Search results

  1. Miss Zomboko

    Ripoti (WHO): Uingereza yaongoza kwa Nchi zenye Matumizi ya Pombe kwa Watoto

    Theluthi moja ya watoto wenye umri wa miaka 11 na zaidi ya nusu ya watoto wa umri wa miaka 13 nchini Uingereza wamekunywa pombe, na kuifanya nchi hiyo kuongoza kati ya nchi 44 zilizochunguzwa katika ripoti ya wataalam wa afya duniani. Ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) ilisema unywaji wa...
  2. Miss Zomboko

    UN: Matukio ya Ubakaji kwenye Maeneo yenye Vita yameongezeka kwa 50% Mwaka 2023

    During the UNSC's meeting on women and peace and security, Pramila Patten reported that wartime sexual violence had increased by 50% in 2023 compared to the previous year. Chronically underreported crime The UN verified 3,688 cases of rape and other sexual violence committed in war in 2023...
  3. Miss Zomboko

    Aprili 23: Siku ya Lugha ya Kiingereza. Neno gani linakushinda kulitamka vizuri?

    Siku ya Lugha ya Kiingereza Duniani (World English Language Day) ni siku ambayo ilianzishwa na UNESCO kwa lengo la kusherehekea umuhimu wa lugha ya Kiingereza kama mojawapo ya lugha za kimataifa zinazotumiwa kote ulimwenguni. Siku hii hutambuliwa kila mwaka tarehe 23 Aprili, ambayo pia ni...
  4. Miss Zomboko

    SIPRI: Matumizi ya kijeshi kote duniani yameongezeka kwa asilimia 7 kwa mwaka 2023

    Taasisi ya kimataifa ya utafiti wa masuala ya amani na usalama SIPRI, imesema matumizi ya kijeshi kote duniani yameongezeka kwa asilimia 7, ikiwa ni sawa na dola trilioni 2.43 kwa mwaka 2023 Taasisi hiyo ya SIPRI iliyoko mjini Stockholm, Sweden, imesema ongezeko hilo la asilimia 7 ni kubwa...
  5. Miss Zomboko

    Ecuadoreans have begun voting in a referendum on proposed tougher measures to fight gang-related crime

    Ecuadoreans have begun voting in a referendum on proposed tougher measures to fight gang-related crime as the country faces rising violence that has seen two mayors killed in a week. The majority of 11 questions posed to voters on Sunday focus on tightening security measures. Proposals include...
  6. Miss Zomboko

    Unadhani ni jambo gani ambalo Watu wengi hawalifahamu kuhusu kupata Mtoto/Watoto?

    Waswahili wanasema Mtu akipata Mtoto kuna namna hujikuta akibadilika na kugundua baadhi ya Mambo ambayo hapo awali hakuwahi kuyajua wala kuambiwa na waliomtangulia kwenye Malezi Mtu mmoja aliniambia ukipata Mtoto/Watoto Maisha yako yanakuwa na Hofu mara kwa mara ukiwaza kama Ukifa mapema Maisha...
  7. Miss Zomboko

    Hospitali inapomwambia Mwanachama wa NHIF Dawa fulani haipatikani kwenye Bima, Mgonjwa anathibitishaje kwamba ni kweli?

    Baada ya misukosuko ya Serikali na Hospitali binafsi kwenye Huduma za Afya kwa Wanachama wa Bima ya Taifa ya NHIF kuna kama utaratibu umeibuka wa kunyimwa baadhi ya Dawa kwa kigezo kwamba hazipatikani kwenye Bima Sasa Me natamani kufahamu Hospitali wanaponiambia Dawa fulani siwezi kuipata kwa...
  8. Miss Zomboko

    CAG: Kitambulisho cha NIDA kiwe kigezo cha lazima kwa Wanafunzi wanaoomba mikopo

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza Uongozi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu uweke mwongozo unaohitaji uwasilishaji wa NIDA kuwa ni lazima kwa Woambaji wote wa mikopo wenye umri wa zaidi ya miaka 18 na Waombaji walio chini ya umri wa...
  9. Miss Zomboko

    Balozi Saidi Othman Yakub ateuliwa kuwa Balozi wa Tanzania Nchini Comoro

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Said Othman Yakub kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Balozi Yakub anachukua nafasi ya Balozi Pereira Ame Silima ambaye amemaliza muda wake. Uteuzi huu unaanza mara moja.
  10. Miss Zomboko

    Njombe: Mtoto wa Miaka 12 akamatwa kwa tuhuma.za kumlawiti Mtoto wa Miaka 10 kiasi cha kumuharibu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Njombe linamshikilia mtoto wa umri wa miaka (12) kwa tuhuma za kumlawiti mwanafunzi wa darasa la nne (10) katika shule moja iliyopo Makambako mkoani Njombe. Hayo yamebainishwa leo Aprili 13, 2024 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Njombe Mahamoud Banga zungumza na waandishi wa...
  11. Miss Zomboko

    Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na njaa kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula

    Takriban watu milioni 55 wanakabiliwa na kitisho cha njaa katika kanda ya Afrika Magharibi na Kati kutokana na kupanda kwa bei za vyakula. Taarifa ya pamoja iliyotolewa na Shirika la Mpango wa Chakula duniani WFP, Shirika la kuhudumia watoto UNICEF na lile la Chakula na Kilimo, imesema kuwa...
  12. Miss Zomboko

    Haiti hatimaye yaunda rasmi Baraza tawala la mpito

    Haiti hatimaye imeunda rasmi Baraza tawala la mpito lililopewa jukumu la kujaza pengo la uongozi nchini humo na kurejesha hali ya utulivu kufuatia ghasia zilizozuka za magenge ya kihalifu. Amri ya kuundwa kwa baraza hilo imetangazwa siku ya Ijumaa kupitia gazeti rasmi la "Le Moniteur", mwezi...
  13. Miss Zomboko

    Mali: Vyombo vya Habari vyapigwa Marufuku kuripoti Matukio ya Vyama vya Siasa

    Serikali ya Kijeshi imepiga Maarufu Vyombo vya Habari kuripoti Matukio ya Vyama vya Siasa na Mashirika ya Kiraia baada ya kusitisha Shughuli zote za Kisiasa Nchini humo hadi pale itakapoamuriwa tena ikidaiwa ni kwa ajili ya kulinda Utulivu wa Umma ========= Mali -- In a deepening crackdown...
  14. Miss Zomboko

    Afrika Kusini: Spika wa Bunge ajiuzulu kufuatia tuhuma za rushwa

    Spika wa Bunge la Afrika Kusini, Nosiviwe Mapisa-Nqakula, ametangaza kujiuzulu wadhifa wake pamoja na kiti cha ubunge siku moja baada ya mahakama kutupilia mbali ombi lake la kuzuia kukamatwa kwa tuhuma za ufisadi. Anatuhumiwa kupokea hongo ya dola 135,000 kutoka kwa mkandarasi mmoja wakati...
  15. Miss Zomboko

    Machi 30: Siku ya Kimataifa ya 'Zero Waste'

    Kila Mwaka, Binadamu wanazalisha kati ya tani bilioni 2.1 na 2.3 za taka ngumu. Takriban Watu bilioni 2.7 hawapati Huduma ya ukusanyaji taka, ambapo bilioni 2 kati yao wanaishi maeneo ya Vijijini. Bila hatua za dharura, uzalishaji wa taka ngumu kila Mwaka utafikia tani bilioni 3.8 ifikapo...
  16. Miss Zomboko

    HRW yaitaka Somalia kutobadili sheria ya haki za watoto

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitaka Somalia kutupupilia mbali marekebisho ya katiba ambayo yanalenga kupunguza umri wa utu uzima kisheria, likidai kwamba mageuzi hayo yatadhoofisha haki za watoto. Mabadiliko yaliyopendekezwa na ambayo yatajadiliwa...
  17. Miss Zomboko

    Afrika Kusini: Jacob Zuma akosa kibali cha Tume ya Uchaguzi kuwania tena Urais

    Maafisa wa tume ya uchaguzi nchini Afrika Kusini Alhamisi walisema kwamba wamemuondoa rais wa zamani Jacob Zuma kwenye kiny’anganyiro cha uchaguzi wa mwezi Mei, na hivyo kuzua mvutano katika maandalizi ya uchaguzi huo. Nchi hiyo itafanya uchaguzi mkuu tarehe 29 Mei, uchaguzi ambao unatarajiwa...
Back
Top Bottom