Nafasi za ajira zimetangazwa leo rasmi na Mrusi vijana wa umri 22 hadi 50 kujiunga na Wagner Group wakaisaidie Russia dhidi ya Ukraine, na utalipwa vizuri sana., wahi sasa nafasi ni chache usiishie tu hapa JF na Tecno yako utalipwa vizuri Rubu 240,000 kwa mwezi, Kwa ninavyokujua hutaacha hii...
Umeongea pumba sana Marekani ataingia vipi vitani bila Nato ambao wanakula posho toka kuasisiwa kwao? wewe wahi kujiungana Wagner group wametanganza nafasi za ajira utalipwa vizuri, nafasi ni chache
Tundu Lisu is a coward master., atakuja siku mbili tatu halafu atasema kaitwa na madktari wake ubeligiji, apo tena ndio kwisha atakuja kwa kugombea urais 2025 na chadema ikikosa urais atarudi tena belgium, kumbukeni Lisu ana stahiki zote sasa akiamua kubaki belgium kama raia., shavu dodo ..,
Wanajeshi wa ukraine wapo US wanapata mafunzo ya kutumia Patriots kwa muda hivi, nadhan wakianza kutumia huo mzigo wa Patriots biashara ya putin kukodi silaha itakuwa imemaliza kabisa kabisa na atatanga hali ya hatari Moscow
Wewe uko gongo la mboto hujuwi wala hutaki kujua kinachotokea ,Jiulize putin alitangaza ataisambaratisha Ukrane kwa saa 72 lakini akasema miezi 6 sasa ni muda gani? miji aliyochukua putin na kuipigia kura tayari jimbo la Kherson lipo chini ya Ukraine na putin hajasubutu kuliteka tena, Kharkiv...
Nani kakwambia, Nchi za Nato sasa zinaongezeka badala putin kutaka kuwagawanya, Japan, Finland, Ukraine etc wanaenda zao Nato full respect.
Nchi zinazounga mkono Urusi hazina influence yoyote kiuchumi duniani na hata hizo ulizotaja hazina hatua yoyote bila mgharibi, Marekani aliiteka dunia...
Putin kachoka sana kumbuka alianza na vifaru msururu toka gongo la mboto hadi posta sasa anaazima silaha iran lakini anakodi makundi ya Wagner na islamic state toka syria vijana wake 400 na wanajeshi wake wote wamefyekwa
Urusi tayari mkuu miguu juu, silaha zinazotumika sasa toka urusi ni kutoka Iran, Iran wamejichimbia Cremea wanatoa mafunzo kwa jeshi la urusi pamoja kutengeneza drons sasa mrusi yuko wapi tena hapo?
Narudia tena google sio msahafu watu wa ngapi wamekuwa wakiishtaki google na wikipedia kwa kuweka taarifa za uongo zinazowahusu, sio kila kilicho kwenye google ni kweli, taka kujua kwanza ni nani aliyeasisi google search na kwa nini asiweke taarifa zinazogongana (uongo).
Na google ndio search...
Uadilifu hata wewe mwenyewe unaweza kujipima iwapo utaongeza mke na wote kuwapatia haki zao kwa mujibu wa sheria ya kiislamu,
Ukweli upi uliowazi? fafanua hem
Nchi ya Uturuki, Tunisia na Iraq zimefuta kabisa ndoa za wake wengi huku Saudi Arabia ikiwa imeweka masharti makali kiasi kwamba hakuna watu wanaooa wake wengi.
Iran yenye watu milioni 88.5 ina ndoa za wake wengi zinazofikia laki moja tu. Algeria zinaelekea kupotea. Swali hapa ni kwanini hizi...
Sasa kama kuna sheria Tunisia kwanini umekuja na mada nchi za kiarabu, ukataja Saudia Arabia, Uturuki na Iran kuhusu ndoa?
Uislamu ama sheria za kiislamu duniani hazitekelezwi na fatwa za kisheria kutoka Tunisia ama nchi yoyote iwe za kiarabu ama kwengine kokote.
Waislmau duniani kote wana...
Huyu jamaa alipopewa kile cheo siku ya pili alipiga mizinga bure bure Kyiv ukiuliza labda ameangusha majengo hakuna ata mtu mmoja ndani alikuwa jenerali wa ovyo sana.,
Watu wanapiga shabaha wakauwa hadi 400 kwenye kambi yeye anapiga missiles bombs tu silaha wenyewe Urusi hawana tena wanakodi...
Mkuu umeandika porojo lote hili? Jeshi la urusi liko wapi sasa? elewa kwamba hao Wagner ni jeshi la kukodi baada ya jeshi la urusi kuuliwa na kushindwa vita, jeshi la urusi lilipomalizika, walipeleka vitani wafungwa, lakini wakapeleka vijana wa kirusi wenye umri wa miaka 18 na zaidi na wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.