Urusi waanza kutafuta msaada wa wapiganaji kutokea Serbia

Haipo shida ,mbona hata Marekani anaivamia iraq.alisapotiwa na NATO .
Umeongea pumba sana Marekani ataingia vipi vitani bila Nato ambao wanakula posho toka kuasisiwa kwao? wewe wahi kujiungana Wagner group wametanganza nafasi za ajira utalipwa vizuri, nafasi ni chache
 
Mwarabu kupigwa kichapo maana huwa mna ujinga sana wa kusumbua watu na hiyo dini yenu...
Kwani alieakwambia waarabu wote waislam nani?? Kwa hiyo unafurahi umati wa watu kuuliwa na magaidi wa kiamerika kisa tu dini yao,, ndo unavyofundishwa na mchungaji wa kinyakyusa kwenye kanisa la mabati( full suti)
 
Hehehe haitokuja nisahau kichapo alichopokea yule Mwarabu wa Iraq, hiyo ndio maana ya supapawa, unasambaratisha hadi mji mkuu....
Kasome kuhusu highway of death, msafara wa majeshi ya Saddam ulipigwa kama mbwa

highway-of-death1.jpg
Hii kitu majenerali wa Iraw hawataisahau
 
Mgambo anaendesha kifaru, helicopter, meli ya moskova, drone, ballistic missiles na marocket
Watu wengine ni vichekesho sana.
Wamekalia uongo uongo tu. Juzi hapa wamefanya mobilization
 
Kwani alieakwambia waarabu wote waislam nani?? Kwa hiyo unafurahi umati wa watu kuuliwa na magaidi wa kiamerika kisa tu dini yao,, ndo unavyofundishwa na mchungaji wa kinyakyusa kwenye kanisa la mabati( full suti)

Kwanza wao huwaona nyie wengine kama takataka zilizodandia dini yao, huwatukana sana hususan mieusi inayoshobokea dini yao, huwafanyizia sana Waafrika kule Saudi Arabia.

Ona hapa

screenshot_20220521-114037_gallery-jpg.2240761
 
Supapawa bado anatapa tapa akitafuta wapiganaji wamsaidie kuondoa hii aibu alianzisha pale Ukraine...

ARussian news video claiming to show Serbian "volunteers" training to fight alongside Russian troops in Ukraine has prompted outrage in Serbia, exposing its complex relationship with Moscow.
Russia's Wagner mercenary group made the Serbian-language videos to encourage recruitment for the war.

Serbia's president, Aleksandar Vucic, reacted angrily on national TV.

"Why do you, from Wagner, call anyone from Serbia when you know that it is against our regulations?" he said.

Critics frequently accuse Serbia of prioritising its long-standing friendship with Russia over its ambition to join the EU. But what has emerged in recent days in Belgrade shows that the picture is not so black and white.

Hinting at less-than-rosy relations with Moscow, President Vucic said that not only was Serbia "neutral" regarding the war in Ukraine, but that he had not spoken to Russian President Vladimir Putin for "many months".

It is illegal for Serbians to take part in conflicts abroad.

Washauri wajaribu na Somalia pia maanq hawa wenzetu huwa hawaogopi Vita
 
Mkuu mtoa mada, kama ulikuwa haujua hakuna mwanajeshi hata mmoja wa urusi aliyekwisha enda mstari wa mbele kupigana. Isipokuwa wachache tena mabrigedia wale viongozi. Mnaopigana nao ni wanamgambo tu wa kujitolea. Ila wale most trained cops bado wapo wanasubiri amri ya mtaalam wa medali puttin ili waonyeshe maajabu
Ndivyo ilivyo
 
Ona mwingine huku. Russia alianza na akapukutishwa mbaya, wakaja Wagner na wao wakapukutishwa.
Hao Wagner si mmeanza kuwaongelea tena hapa juzi baada ya kutofautiana na Majeshi ya Russia?
Unajua hata mgawanyo wa kimaeneo huko uwanja wa kivita ulivyokua?

Mlivyo na akili za usingizi wa mbege, yaani ukusanye Kijiji cha Majenerali, uwapeleke vitani bila ya askari wao? Sasa hao askari ni midoli au?

Kama Russia hakuna askari wa Russia Ukraine basi Russia ni nchi isiyo na Jeshi bali ina Majenerali tu?

Unajua hata silaha wanazitumia Russia kwenye hii vita na silaha hizo hutolewa na vikosi gani?
Unazijua limits za Wagner katika hiyo vita na silaha zilizoruhusiwa kutumiwa na wao?

Hata muundo na function ya hiyo Wagner hamuijui, mnadandia tu kama viitikio vya nyimbo msizozijua.
 
Hehehe haitokuja nisahau kichapo alichopokea yule Mwarabu wa Iraq, hiyo ndio maana ya supapawa, unasambaratisha hadi mji mkuu....
Kasome kuhusu highway of death, msafara wa majeshi ya Saddam ulipigwa kama mbwa

highway-of-death1.jpg

Kujitia ujuaji mwingi na habari za kubuni tu - hivi unajua vizuri kilicho tokea hapo - ngoja nikusaidie: Sadaam Hussein na Bush walielewana kwamba Saddam ataondoa majeshi yake yote huko Kuwait kwa kutumia barabara inayo toka Kuwait kwenda Iraq - walielewana kwamba hapatakuwepo mashambulizi yeyote baina ya majeshi yao wakati wana withdraw from Kuwait hayo ni mambo ya kawaida kwenye masuala ya vita ndio maana uwepo hata ubadirishani wa wateka.

Kwa bahati mbaya Saadam hakutilia shaka makubaliano baina yake na Bush hivyo Saadam akahamuru majeshi yake yote yaondoke Kuwait kwa magari ya kijeshi kuelekea Bagdad na kambi nyingine za kijeshi za huko Iraq - American air force pamoja na wapelelezi wao wakasubiri msafara mkubwa wa magari ya jeshi la Sadam ndio Wamerica wakatuma Apache choppers na A-10 warthog anti tank jet fighters kushambulia msafara - msafara ambao hakuwa na defense yeyote katikati ya jangwa ukashambuliwa kikatiri, kwa mawazo yako ya ajabu eti kitendo hicho cha kitatiri kinadhilisha nini maana ya "Super Powers" - hii inadhilisha kwamba kumbe akilini nywere...

Watu wenye akili timamu walijua kwamba ukatiri huo ni dalili za jeshi ambalo halijiamini/woga, ndio maana utumia tactics za kushtukiza na kuto heshimu makubaliano - kama kweli US Military ilikuwa na uwezo kivile kwa nini hawakwenda kupigana na wanajeshi wa Iraq wakati walipo kuwa ndani ya mji wa Kuwait na viunga vyake - Wamerika kazi hiyo hawawezi majigambo tu masaa yote, kutegemea shock and awe - boots on the ground later baada ya kuhakikisha wamekwisha waua maelfu ya wanajeshi na raia wasio na hatia.

Picha uliyo tuletea hapa ni dalili tosha za kuonyesha jeshi lisilo na ujasiri wowote ni woga tu - ndio maana hawawezi hata kugusa Taifa kama North Korea let alone Russia - wewe masaa yote utuletea paper tiger wako kwamba ndiye kilanja wa Dunia - sasa swali: je, US waliwahi kupigana wapi na jeshi la maana, au mmesahau kwamba walivyo wahi kupigwa vibaya na kurudishwa nyuma na jeshi la Korea Kasikazini wakishirikiana na Wachina mpaka 38 parallel kama Umoja wa mataifa wasiingeingilia kati sijui kungetokea nini?

Huwa nawashangaa sana baadhi yenu ambao umukuza sana jamaa huyu bila ya ku-check historia zao za masuala ya vita tangu late 1770s, hivi sasa ni takribani miaka 400 tangu wapate uhuru, cha ajabu katika miaka tajwa hapo juu ni miaka 16 tu ndio hawajawahi kujihusisha na masuala ya vita mshenzi na ya kweli - wagomvi gomvi tu na kuchochoe vurugu Karibu Dunia nzima. Putin akisema the World have had enough of these nonsense mmnamuona mbaya!!
 
mmesahau kwamba walivyo wahi kupigwa vibaya na kurudishwa nyuma na jeshi la Korea Kasikazini wakishirikiana na Wachina mpaka 38 parallel kama Umoja wa mataifa wasiingeingilia kati sijui kungetokea nini?

#Eka nyama hapo#
 
Hehehe hamna, walipokea kichapo pale walikua wana retreat hawakua wana-surrender, that's war, mwarabu kafyekwa mbaya mno.
 
Huyo ni mtu mmoja kaongea hivyo ingawa hakuna uhakika mana hicho kiposta hata mie naweza nikakitengeneza,, na nani aliekumbia kuwa uislam ni dini waarabu?

Ni dini ya mwarabu, ilianzishwa na yule mwarabu mtume wenu ambaye nilishangaa sana aligegeda katoto ka miaka 9 na huwa hamuoni kama issue, mnatetea tu na kusema ilikua sawa kwake yeye kufanya huo uchafu kwa mtoto...
Huwa mnashobokea sana waarabu licha ya wao kuwaona kama takataka

screenshot_20220731-204338-2-jpg.2310321
 
hata sikushangai,, ndo unavyoambia na mchungaji wako wa kinyakyusa hivo,,, sio kosa lako, ndo maana thread zako zote ni matusi, kashfa, chuki dhidi ya uislam. Halafu hivyo viposta huyo ni mtu mmoja tu kaamua kukitengeneza kwa sababu zake anazozijua mwenyewe hata mimi naweza kufanya hivyo. So koment zako kuambatanisha na hivyo viposta inaonekana kabisa we mweupe kichwani.
 
Back
Top Bottom