Tundu Lissu: Nikitua tu nchini Tanzania Jumatano naenda direct kuhutubia Mkutano wa hadhara ulioandaliwa na chama, bado nadai kiinua mgongo Tsh 100mil

Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema atawasili nchini Tanzania Jumatano 25 01 2023 saa 13:35 mchana na baada ya mapokezi ataenda Moja kwa Moja kuhutubia Mkutano wa hadhara ulioandaliwa na chama chake, hakuna kulala

Tundu Lissu amesema ameshalipwa na Serikali baadhi ya madai yake lakin Bunge bado halijamlipa kiinua mgongo kinachozidi tsh 100 million na bado hajarudishiwa gharama za matibabu anazostahili kisheria

Tundu Antipas Lissu amewaalika Wananchi Wote kwenye huo Mkutano mkubwa wa hadhara

Source: Voice of America VoA
Tundu Lisu is a coward master., atakuja siku mbili tatu halafu atasema kaitwa na madktari wake ubeligiji, apo tena ndio kwisha atakuja kwa kugombea urais 2025 na chadema ikikosa urais atarudi tena belgium, kumbukeni Lisu ana stahiki zote sasa akiamua kubaki belgium kama raia., shavu dodo ..,
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu amesema atawasili nchini Tanzania Jumatano 25 01 2023 saa 13:35 mchana na baada ya mapokezi ataenda Moja kwa Moja kuhutubia Mkutano wa hadhara ulioandaliwa na chama chake, hakuna kulala

Tundu Lissu amesema ameshalipwa na Serikali baadhi ya madai yake lakin Bunge bado halijamlipa kiinua mgongo kinachozidi tsh 100 million na bado hajarudishiwa gharama za matibabu anazostahili kisheria

Tundu Antipas Lissu amewaalika Wananchi Wote kwenye huo Mkutano mkubwa wa hadhara

Source: Voice of America VoA

Mwambie yule aliezuia hicho kiinua mgongo chake kwa sasa hazipo sawa sasa sijui ataenda mdai nani
 
Acha aje awapige spana akili ziwakae sawa

Hapa kuna watu wanatamani hata ndege iahirishe safari,maana huyu jamaa ni Game changer,tutaanza kuyasikia ambayo tulikuwa hatuyajui na maneno yake ya kukera hivi,kama alivyoanzisha ule msamiati wa dikteta uchwara

Kama nimemwona vile!
 
Karibu Sana Tanzania Tundu Antipas Mgwai Lissu, mzalendo na mpigania rasrimali za nchi hii.

Nchi itasimama kwa muda kushuhudia mapokezi yake

Na siku anakuja tutaahakikisha kuna zoezi linaendelea kiserikali ili kupooza ujue wake
 
Halafu kuna wajinga wanaamini mwanasiasa anatetea masilahi ya wananchi!
History speaks itself! Unadhani hakurubuniwa na Jiwe kumpa cheo? Alirubuniwa sana kama akina Mbowe, Sugu and many other CDM officials. Mjinga ni wewe ambaye huwezi kuchanganua mambo. Definitely, akifanya kazi nzuri lazima ale vizuri, avae vizuri, aendesshe gari nzuri and other amenities of life1 sasa unategemea asitake hela? One should be rewarded for his labour!
 
Acha aje awapige spana akili ziwakae sawa

Hapa kuna watu wanatamani hata ndege iahirishe safari,maana huyu jamaa ni Game changer,tutaanza kuyasikia ambayo tulikuwa hatuyajui na maneno yake ya kukera hivi,kama alivyoanzisha ule msamiati wa dikteta uchwara
Mnaopigwa spana ni nyinyi mabongo lala mnaokwenda kumshabikia mtu ambae,lengo lake ni kupata mafao yake kupitia vitisho kwenye umati wa wapumbavu kama wewe!
 
Back
Top Bottom