Search results

  1. josias

    Gharama za ujenzi wa uwanja wa DR. Samia zinapaswa kuchunguzwa na DR. Samia

    Ujenzi wa Uwanja wa Samia Arusha umeibua maswali mengi kuhusu ukubwa wa gharama ikilinganishwa na gharama zilizotumika ulipojengwa uwanja wa Benjamin Mkapa. Kwanza tupate bei ya dola kwa miaka ya nyuma ilikuwaje ili tujadili kwa Utulivu Mabadiliko ya thamani ya shilling ya Tanzania kulinganisha...
  2. josias

    Vita maeneo ya kazi na namna ya kuzishinda

    Mara kadhaa tumekuwa tukishuhudia migogoro baina ya wafanyakazi na Watumishi wa Serikali na hata Sekta za Umma. Migogoro hiyo huambatana na , kufukuzwa kazi, kusimamishwa kazi, Kushushwa vyeo ama kutenguliwa kabisa nyadhifa za uongozi. Nyuma ya mambo tajwa hapo juu kuna nguvu kubwa inayoitwa...
  3. josias

    Nani yuko nyuma ya Mkataba wa TFF na GSM, kwanini TFF wanazuia usijadiliwe wala kuhojiwa?

    Mkataba huu sio kwamba ulipaswa Kuisha November 2023?
  4. josias

    Robo Fainali CAFCL: Simba kukutana na Al Ahly, Yanga yapangwa na Mamelodi Sundowns

    Azam wataonyesha kupitia Azam Sports 3 kuanzia Saa tisa Kamili Alasiri
  5. josias

    Hoja ya Sam Ruhuza kuhusu teuzi inatafakarisha

    NADHARIA MBILI KUHUSU KINACHOSABABISHA WANA NGARA WENGI WASIONEKANE KWENYE TEUZI Nimepitia andiko la Sam Ruhuza, Moja ya Wanasiasa wakongwe, nguli na wabobezi kwenye siasa za Upinzani Nchini Tanzania toka kuanza kwa Mfumo wa Vyama vingi mnamo Mwaka 1992. Sam Ruhuza ni moja ya Viongozi wakubwa...
  6. josias

    Hoja ya Sam Ruhuza kuhusu teuzi inatafakarisha

    Anaandika Sam Ruhuza kukosoa mfumo wa Teuzi kuwatenga Wananchi wa Wilaya ya Ngara. Ndugu zangu Wanangara! Nimetafakari sana hizi teuzi serikalini, kuna sehemu sizielewi, mnisaidie! Ngara kuna watu ccm kwelikweli na vijana wengi wasomi tu, lakini kwenye teuzi, hauwaoni, lakini...
  7. josias

    CHADEMA yatangaza Maandamano Kupinga Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa Bungeni

    SABAYA VS MAANDAMANO Miaka kadhaa iliyopita aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Comrade Lengai Ole Sabaya aliwahi kutoa Tahadhari kuhusu Ujanja Ujanja wa Chadema kuhusu maandamano. Sasa waambie Viongozi wa Chadema watangulize Familia zao mbele.
  8. josias

    Serikali ifanye uchunguzi wa kina kuhusu ujenzi wa uwanja wa mpira wa Remela wilayani Ngara

    Wakati Serikali ikichukua hatua mbalimbali kupambana na vitendo vya ubadhirifu na matumizi mabaya ya fedha za Umma kumeendelea kuibuka malalamiko kutoka kona mbalimbali za Tanzania kuhusu uwepo wa matumizi mabaya ya fedha za Umma katika baadhi ya Halmashauri. Hivi karibuni tulishuhudia hatua...
  9. josias

    Historia isiyofahamika na wana Ngara wengi kuhusu wabunge waliowahi kuliongoza Jimbo la Ngara toka uhuru mpaka sasa

    HISTORIA ISIYOFAHAMIKA NA WANA NGARA WENGI KUHUSU WABUNGE WALIOWAHI KULIONGOZA JIMBO LA NGARA TOKA UHURU MPAKA SASA. Mara kadhaa kumekuwa na ubishani kuhusu Wabunge waliowahi kuongoza Jimbo la Ngara toka Uhuru mpaka sasa. Pia kumekuwa na upotoshaji kuwa Jimbo la Ngara halijawahi kuongozwa na...
  10. josias

    Tutegemee nini kama hii picha ikimuonesha waziri mkuu na Lengai Ole Sabaya wakifanya mazungumzo ni ya kweli?

    Jambo la Kutegemea ni Sabaya kurejeshwa Kwenye Majukumu ya Kuwatumikia Watanzania baada ya Mahakama ya Rufani kuweka Wazi kuwa Sabaya hakuwa na Hatia.
  11. josias

    Mfumo wa Luku haufanyi kazi

    Jioni ya Leo Tarehe 28/08/2023 mfumo wa ununuzi wa LUKU kupitia njia zote (Mitandao ya Simu, Bank na hata Mawakala) haufanyi kazi. Jambo la kusikitisha TANESCO hawajatoa taarifa yoyote kuhusu jambo hili. Tuna safari ndefu kama Taifa.
  12. josias

    Mataifa ya Afrika tupieni jicho Uchaguzi wa Marekani

    Leo ni siku ya Uchaguzi Mkuu Nchini Marekani ambapo Mwanasiasa Nguli Joe Biden atakuwa akichuana vikali na rais wa sasa wa Marekani Ndg. Donald Trump. Katika Uchaguzi huu wa mwaka huu Joe Biden anaonekana kuwa na nguvu zaidi ya Donald Trumpn kwani tafiti zinaonyesha kuwa uwezekano wa kushinda...
  13. josias

    Uchaguzi 2020 Kauli ya Sheikh Ponda yakanushwa na wahadhiri wa Dini ya Kiislam

    Huyu Shekhe ni moja ya Majanga ya Taifa tulilo nalo. Muda wote shekhe huyu anaonekana anatamani kunywa damu ya watanzania. Tarehe 28 tunapaswa kuwanyoosha kwa Style ya ajabu kwa kupiga Kura za kishindo kwa John Pombe Magufuli
  14. josias

    Nigeria: Mwanajeshi aliyeokota pesa na kuzirudisha alipwa Mara mbili na amepandishwa cheo kwa ngazo mbili

    Umar pamoja na kupandishwa Cheo amepewa Pesa zenye thaman mara mbili ya Pesa alizokuwa ameokota hapo awali
  15. josias

    Mume amchoma mke na mtoto kwa petroli

    Hakujibiwa vizur kivipi?..... Ngoja akakutane na Sheria imujibu vizuri
  16. josias

    Mfungwa ajiua kwa kujikata mshipa wa fahamu akiwa gerezani

    Hesabu ulisomea wapi mkuu? Mbona unatuchanganya?
  17. josias

    Geita: Mama amuua mtoto wa kumzaa na kumpika kama mboga

    Haujawahi kuona Mbwa mwenye kichaa?
  18. josias

    Jeshi la Polisi linawashikilia Maua Sama na Soudy Brown kwa kudhihaki fedha za Tanzania

    Naomba Picha ya Soud Brown akiwa nje ya Mask plz
  19. josias

    KUNA WADAU WA NETWORK MARKETING HUMU?

    OTP
Back
Top Bottom