network marketing

  1. G

    Kipi heri, Network marketing au Betting?

    Leta huyu na yule wajisajili upate pesa au weka 500(yaani mia tano) kwenye betting sites kama Sokabet au 10bet uomoke na 50k?
  2. Usipanic buana nakutania

    Ushauri kuhusu Network marketing

    Habari wakuu Moja kwa moja kwenye mada, nina mpango wa kuingia katika biashara ya mtandao(Network Marketing), asilimia 80% ya maoni niliyoyapata kwa watu wa karibu ni negative; yaani wanaamini huko nitaenda kutapeliwa. Ninaombq wana JF wale ambao mna ufahamu wa kutosha na huenda mlio kwenye...
  3. Mukulu wa Bakulu

    AIM Global, Qnet, Forever Living, One Coin, GNLD na wengine mbadili mbinu za utapeli, hii ya utajiri ndani ya siku 2 imepitwa na wakati

    Huu ni ushauri wa bure. Haya makampuni ya fursa hebu wajitahidi kubadili mbinu za kutapeli watu. Hii ya kutajirika ndani ya siku 2 imepitwa na wakati. Qnet acheni kukodi magari ya watu na kujifanya ni yenu. Na visimu vya Iphone 6 Iphone 8. Badilini mbinu basi. Kupiga picha na selfie kwenye...
Back
Top Bottom