Search results

  1. Lisa

    Kikwete afagia Posta: Mkurugenzi Mkuu, Katibu wake hatiani kwa ubadhirifu

    Mkurugenzi mkuu wa shirika la Posta ( DEOS KHAMIS MNDEME) na katibu wa shirika (BW SAID) wamesimamishwa kazi kwa ubadhilifu wa mali ya shirika. Waliuza nyumba za shirika la Posta zilizopo Masaki kwa sh milioni 900, badala ya Bilioni 3, imegundulika kuwa bilioni 2 hazijulikani zilipo na hizo...
  2. Lisa

    Naomba Msaada wa Kupata Past Paper za QT

    Habari za Leo wanajamvi, Naombeni msaada wenu wa kupata past paper za QT kuanzia mwaka 2006 - 2013 za History, Geograph, English , Kiswahili na Civics . nina msichana ninayemsomesha anatarajia kufanya mtihani mwakani, kama kunauwezekano wa kuzipata naomba nijuzwe zinapatikana wapi, maana...
  3. Lisa

    Wazazi wenzangu tupunguze ukali

    Habari zenu wana MMU Kutokana na maisha tunayoishi na watoto wetu, inatakiwa kupunguza ukali kidogo kwao maana wanakuwa wakiishi kwa wasiwasi pale wafanyapo kosa, au kuharibu kitu ndani ya nyumba, sikatai kuwa kumfundisha mtoto si vibaya lakini tupunguze kidogo ukali. Nina maana...
  4. Lisa

    Wanaume wenye magari kuweni makini

    Habari za leo wana MMU, Kaka zangu na wanaume wote kwa ujumla naomba niwape tahadhali hii nimeiona imetokea, siku hizi machangu wanavaa vizurii, halafu wanakwenda kama maeneo ya mbezi, makongo, buza, halafu anajisimamisha barabarani , kisha anaangalia kama ndani ya gari zinazopita kuna mtu...
  5. Lisa

    Naomba Kujuzwa!!!!

    Habari za mchana wana MMU!!! Kuna mfanyakazi mwenzangu , amamaliza form four mwaka 1996, akapata div four, akaenda kusoma certificate, akafaulu, akasoma diploma akafaulu, sasa kapata pesa ya kujiendeleza, akaambiwa aaply kupitia NACTE. Akafuata process zote za kulipia na kudown load vyeti...
  6. Lisa

    Kwanini wazazi?

    Habari za Asubuhi wana MMU! Naomba kuuliza swali kwa wazazi wenzangu ni kwa nini kama mume na mke wametofauiana ndani ya nyumba, basi utakuta baba anakuwa mkali kw watoto, na wakileta mchezo anawachapa bila ya sababu kuwa, AU unakuta mama anakuwa mkali kwa watoto kiasi ambacho amefanya kosa dogo...
  7. Lisa

    Naomba Msaada wenu

    Habari za mchana,Naomba msaada wa anayefahamu NO ya simu ya Shule ya Green Eca , anisaidie nahitaji ni Muhimu sana !AsanteniLisa
  8. Lisa

    Shamba linauzwa

    Kuna shamba ninauza lina ukubwa wa heka 2 , lipo kimara suka , umbali wa kilometer 2 kufika barabarani, lina maji na lipo mahali pazuri. ninaanzia shilingi milioni 80. mazungumzo yapo. no ya simu 0754 401257
  9. Lisa

    Hii ni sawa jamani!? [Kwa wanaume tu!]

    hABARI ZA ASUBUHI mm ninaswali kwa wanaume ambao mlituona tunafaa kuwa wake zenu na kuwa mama wa watoto wenu. Ninalala wa mwisho kuangalia kama kila kitu kiko sawa na kuhakikisha kama milango imefungwa na sitting room , jikoni na sehemu zingine ziko safi. Naandaa nguo za mume wangu pamoja na...
  10. Lisa

    Naomba ushauri

    Habari zenu wana JF Mm ni mwanamke , nimelelewa vizuri na wazazi wangu wote wawili, nimesoma nina advance diploma ya IT na kwa sasa naongeza ujuzi wangu ktk chuo cha IFM. Nimeolewa na nina watoto wawili, mume wangu wa kwanza tuliishi miaka 8 , kutokana na mateso na vitimbwi kwa kweli...
  11. Lisa

    Anaomba ushauri afanyeje?

    kuna rafiki yangu anamatatizo katika ndoa yake, ameolewa ana miaka mitatu sasa, anadai mumewe amebadilika sana baada ya kupata kazi yenye kipato kikubwa, kununua gari na kujenga nyumba ambayo wanaishi sasa, anadai mume kwa sasa hashindi tena ndani kama zamani, hamshirikishi tena katika maamuzi...
  12. Lisa

    Ushauri pls

    Swali langu ni kwamba kila tukiwa na msuguano (fight) mume wangu huniomba tufanye sex ili tusawazishe mambo ,hata hivyo binafsi hujikuta nimekasirika bado na sina mood na yeye analalamika kwamba bado nina donge moyoni na kwamba hatujayamaliza. je kufanya sex ndiyo suluhisho la mikwaruzo...
  13. Lisa

    Kwa anayejiamini anaweza

    Wadau kuna mtanzania aishie Marekani anahitaji kupata mwanaume wakitanzania mwenye uwezo wakumpa raha kwauhakika yeye ana umri wa miaka 43 lakini mwonekano wake ni kama miaka 23. Anapenda: Napenda night life and fine things in life. Alizaliwa masikini lakini sasa ana pesa. Sifa za...
  14. Lisa

    Amechoka kutendwa anahitaji mume

    Naitwa Annie,23,mnene,maji ya kunde,si mrefu wala mfupi sana,elimu yangu kdato cha 6,mkristo-lutheran.Natafuta mchumba umri 27-35 ambaye yuko serious na maisha,awe mrefu,sio mwembamba sana,sichagui dini wala kabila,awe mwelewa,anaeshaurika,asivute sigara,pia awe tayari kuniendeleza kielimu...
  15. Lisa

    Anaomba ushauri afanyeje?

    Habari kaka mimi ni msichana niliyebahatika kuolewa miaka kadhaa iliyopita, nikiwa katika ndoa yangu nilidanganyika nikatoa nje ya ndoa na huko nikakutana na mwanaume aliyejaliwa kuwa na mashine yauhakika nikawa nakula naye raha wakati huo mume wangu alikuwa nje ya nchi lakini aliporudi...
  16. Lisa

    Naomba ushauri

    Mimi ni mwanamke , nina miaka 32, nina watoto wawili. Nina Advanced Diploma ya IT. Nimemaliza katika chuo cha IIT.Nahitaji kusoma zaidi,kufikia lengo hilo nahitaji sponsor.Nimesikia WAMA wanatoa msaada wa kusomesha wanawake Tanzania. naombeni kama kuna mtu anafahamu jinsi ya kupata hiyo...
  17. Lisa

    Koo zingine jamani zinabore

    Ameolewa na ana watoto wawili , Mungu amempa watoto wakike 2.Lkn Kuanzia baba mkwe , mawifi , shemeji zake wanamlaumu kwa kuzaa watoto wakike, na kusema mwanamke gani anazaa watoto wakike tuu.wakamshauri mwanaume akaenda kuoa mke mwingine ambaye atamzalia mtoto wa kiume.Bahati mbaya huyo...
  18. Lisa

    Anaomba ushauri afanye nini

    Ni mwanamke wa miaka 30, alikutana na kijana chuoni , wakapendana na wakaishi pamoja wakafanikiwa kupata mtoto mmoja.baada ya hapo walifunga ndoa ya serikali.mungu akawajalia wakapata mtoto wa pili.baada ya hapo mwanaume alirudi chuoni kuongeza elimu zaidi. huko akakutana na mwanamke mwingine...
Back
Top Bottom