Ushauri pls

Lisa

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
1,549
1,074
Swali langu ni kwamba kila tukiwa na msuguano (fight) mume wangu huniomba tufanye sex ili tusawazishe mambo ,hata hivyo binafsi hujikuta nimekasirika bado na sina mood na yeye analalamika kwamba bado nina donge moyoni na kwamba hatujayamaliza. je kufanya sex ndiyo suluhisho la mikwaruzo tuliyonayo?
 
mbona hili swali lilishaulizwaga hapa?

anyway, we mpe tu! hata akitaka tigo mpe, kwani nn bana.
 
Aise huwa inanoga mno;jaribu kumpa siku moja halafu weka mawazo yako yote kwenye iyo kitu; wifiyo alishawahi kunipa siku tumegombana huh! Sitasahau; mikito ilikuwa moto sana siku hiyo!
 
halafu cha hivyo huwa kitamu balaa hata mie huwa wife akiniudhi tukipishana kidogo akiniomba msamaha lzm ahakikishe ananipooza kwa ka mechi, mzee ukifika golini unakuta mvua ilishanyesha kitambo duh acha bana joto hupanda ghafla nyuzi mia moja, ile kitu inakwea anga mpaka nahisi itamtoboa haha tehe mpe bana kinyongo cha nini?
 
liliulizwa nadhani na MJ1 au Nyamayao eeh sikumbuki ..mpeni link ya hiyo Topic
 
Swali langu ni kwamba kila tukiwa na msuguano (fight) mume wangu huniomba tufanye sex ili tusawazishe mambo ,hata hivyo binafsi hujikuta nimekasirika bado na sina mood na yeye analalamika kwamba bado nina donge moyoni na kwamba hatujayamaliza. je kufanya sex ndiyo suluhisho la mikwaruzo tuliyonayo?

Da! Lisa swali lako zuri kweli ingawa kuna mdau anasema lilishaulizwa.
Hata mimi baada ya kaugomvi na wifiyo ni lazma ni'apply for game.
sababu kubwa ni kupata uhakika kuwa ugomvi umeisha kwa roho safi.
 
na ni tamu zaidi ukiwa bado unalia................................... na machozi yanachuruzika............... hapo hutasahau hiyo raha yake................ utasimulia hadi vitukuu....................
 
Inahitaji moyo lakini, kiroho kinauma huku upandishe mzuka! Binafsi hii kitu huwa naona inaenda na feeling zaidi, kweli hili linategemea na ukubwa wa mkwaruzano, kama ni mkubwa sana aisee midadi haipandi kabisa! ina hitaji muda wa kupoa na kurudisha feeling.
 
As long as there is pinch of love and feeling for her; this is possible! Tunaongelea Mikwaruzanao na si kushikiana mapanga! Ama niko mbali na mada?

Eeeeeeh hii baba tamu nimecheka sana........ ni kweli ina raha yake ati !

..................................................
Amani yetu inatumiwa vibaya
 
Swali langu ni kwamba kila tukiwa na msuguano (fight) mume wangu huniomba tufanye sex ili tusawazishe mambo ,hata hivyo binafsi hujikuta nimekasirika bado na sina mood na yeye analalamika kwamba bado nina donge moyoni na kwamba hatujayamaliza. je kufanya sex ndiyo suluhisho la mikwaruzo tuliyonayo?

"mwana umleavyo,...!"
Pia kuna wanawake ambao hupendelea njia hiyo ku make up.

Anyway, kwanza jifikirie hiyo tabia umeilea kwa muda gani.
Pili, kumbuka sex ni Intimacy, huenda kwa tafsiri yake Love-making inawasaidia kuwaweka kwenye ukaribu zaidi na ku relax kabla ya kuongelea maisha yenu.

Have an open 'mature' discussion na mumeo kama naye ataridhia njia nyingine mbadala ya kusuluhisha mikwaruzo yenu kabla ya sex...
 
Back
Top Bottom