Anaomba ushauri afanye nini

Lisa

JF-Expert Member
Aug 13, 2009
1,549
1,074
Ni mwanamke wa miaka 30, alikutana na kijana chuoni , wakapendana na wakaishi pamoja wakafanikiwa kupata mtoto mmoja.baada ya hapo walifunga ndoa ya serikali.mungu akawajalia wakapata mtoto wa pili.baada ya hapo mwanaume alirudi chuoni kuongeza elimu zaidi. huko akakutana na mwanamke mwingine wakapendana na kumtelekeza mkewe , na sasa wanataka kufunga ndoa na huyo mwanamkewaliyekutana naye chuoni ndoa ya kanisani. mkewe alipomwambia kuwa kwa nn unafanya hivyo akamwambia Baba yake amemwambia aoe kabila lake na aoe kwenye uwezo, na mbaya zaidi ni kuwa amezaa watoto wakike tuu hajazaa wakiume .je huyu mwanamke afanye nn ? anaomba ushauri wenu.
 
Ina maana ni watu wa imani tofauti? Nadhani ni mwanamke mkristu na mwanaume ni Muislamu. Kama ndivyo, huyu mwanamke hana jinsi, maana mume huyo anaruhusiwa na dini yake kuoa zaidi ya mke mmoja.

Lakini kama ni vice versa, basi huyo mwanamke ana kila sababu ya kwenda kwa paroko na kuzuia hiyo ndoa isifanyike mpaka watakapokubaliana kwa mambo fulanifulani nyeti kabisa ya kimaisha.
Huyo bwana anaonekana kuwa very irresponsible na si mpendaji bali mmegaji asiyewajibika.
 
Last edited:
Kama ni ndoa ya serikali ( bomani) itategemea kwenye cheti walikubaliana ndoa yao iwe ya mke mmoja/ wake wengi au huenda ikawa ya wake wengi ( potentially polygamous).Mara nyingi mwanamke anapoweka sahihi kwenye cheti wala hasomi kuona anajifunga kwenye nini.Hapo ndipo patammaliza au kumuokoa kama anataka kuzuia ndoa isifungwe.
Pia katika kuzuia ndoa, ajue kuwa hakutamsaidia yeye binafsi sana kwa maana hataweza kuwazuia kuendelea na mapenzi yao na hata kuendelea kuishi pamoja.Nina maana kuwa penzi halilazimishwi- sanasana atawa frustrate hiyo siku ya kufunga ndoa tu.
Ushauri kwake : Aelekeze nguvu katika kutafuta haki za watoto wake - matunzo.
 
Last edited:
BASI TU WAACHANE UNAJUA MAPENZI HAYALADHIMISHWI
mdada agange tu yajayo kama ana kazi yake itakayompatia kuweka mdomo kinywani wala asilazimishe penzi ..inauma sana lakini thanx god alitupa kusahau
 
Huyo mama ana bahati mbaya. Kwa kuwa walifunga ndoa kiserikali tu ndoa hiyo inaweza kuvunjwa kwa talaka mahakamani. Mume kwa kuwa ndiyo kamchoka mama akienda mahakamani kudai talaka anaweza kupewa. Na akishapewa ndoa inakuwa imefikia ukomo. Kumbe wote wawili wanakuwa huru kufunga ndoa mpya. Na kwa kawaida talaka inapotolewa masuala ya utunzaji wa watoto pia huamuliwa na mahakama.

Kumbe kwa mazingira yaliyopo huyu mama ana nafasi ndogo sana ya kuokoa ndoa yake ya bomani. Sanasana asubiri talaka na mgawanyo wa majukumu ya kutunza watoto, na mgawanyo wa mali walizopata pamoja. Yule mwanaume amemfikisha pabaya.
 
hivi kuna watu mpaka leo hii wanachagua jinsia za watoto kama wanajua kuumba vile? eti kazaa wa kike wote, angejua wanawake wa cku hizi ahh akili mukichwa tu maisha mbona yanasonga tu....ingekuwa mie kweli kabisa ningemtakia kila la kheri na maisha yake mapya.....hata nikimng'ang'ania nitajiumiza tu mana ndoa ishakuwa ya wengi sio ya wawili tena, baba mtu nae msemaji......
 
Kama ni ndoa ya serikali ( bomani) itategemea kwenye cheti walikubaliana ndoa yao iwe ya mke mmoja/ wake wengi au huenda ikawa ya wake wengi ( potentially polygamous).Mara nyingi mwanamke anapoweka sahihi kwenye cheti wala hasomi kuona anajifunga kwenye nini.Hapo ndipo patammaliza au kumuokoa kama anataka kuzuia ndoa isifungwe.
Pia katika kuzuia ndoa, ajue kuwa hakutamsaidia yeye binafsi sana kwa maana hataweza kuwazuia kuendelea na mapenzi yao na hata kuendelea kuishi pamoja.Nina maana kuwa penzi halilazimishwi- sanasana atawa frustrate hiyo siku ya kufunga ndoa tu.
Ushauri kwake : Aelekeze nguvu katika kutafuta haki za watoto wake - matunzo.

Hilo ndio la msingi, otherwise atakuwa frustrated coz jamaa ndio ameshaamua.

Kuwa uyaone!!
 
Ni mwanamke wa miaka 30, alikutana na kijana chuoni , wakapendana na wakaishi pamoja wakafanikiwa kupata mtoto mmoja.baada ya hapo walifunga ndoa ya serikali.mungu akawajalia wakapata mtoto wa pili.baada ya hapo mwanaume alirudi chuoni kuongeza elimu zaidi. huko akakutana na mwanamke mwingine wakapendana na kumtelekeza mkewe , na sasa wanataka kufunga ndoa na huyo mwanamkewaliyekutana naye chuoni ndoa ya kanisani. mkewe alipomwambia kuwa kwa nn unafanya hivyo akamwambia Baba yake amemwambia aoe kabila lake na aoe kwenye uwezo, na mbaya zaidi ni kuwa amezaa watoto wakike tuu hajazaa wakiume .je huyu mwanamke afanye nn ? anaomba ushauri wenu.

Kwa hiyo na wewe Lisa kuzaliwa kwako ilikuwa bahati mbaya?
 
mi namshauri aachane naye wala asisumbue akili yake kukwamisha ndoa hiyo, it wont work out ever maana hamjali, yeye akomae na watoto wake tu, he doesnt deserve you, i can assure you hizo sababu za wazazi ni visingizio tu wala hata wazazi hawahusiki asiwasingizie.
 
Ni mwanamke wa miaka 30, alikutana na kijana chuoni , wakapendana na wakaishi pamoja wakafanikiwa kupata mtoto mmoja.baada ya hapo walifunga ndoa ya serikali.mungu akawajalia wakapata mtoto wa pili.baada ya hapo mwanaume alirudi chuoni kuongeza elimu zaidi. huko akakutana na mwanamke mwingine wakapendana na kumtelekeza mkewe , na sasa wanataka kufunga ndoa na huyo mwanamkewaliyekutana naye chuoni ndoa ya kanisani. mkewe alipomwambia kuwa kwa nn unafanya hivyo akamwambia Baba yake amemwambia aoe kabila lake na aoe kwenye uwezo, na mbaya zaidi ni kuwa amezaa watoto wakike tuu hajazaa wakiume .je huyu mwanamke afanye nn ? anaomba ushauri wenu.

Kwanini watoto wa kike si watoto!? au ni watoto robo!? Tuache hili la kuwadharau watoto wa kike na kuwatukuza watoto wa kiume tu. Kuna wengine hawakujaliwa hata mtoto mmoja sasa unapojaliwa watoto na Mwenyezi Mungu cha kufanya ni kushukuru na kuwaombea wawe na afya njema bila kujali jinsia yao.
 
Swala la msingi ni kujipa moyo na kusonga mbele. Wanawake wanakuwa na wakati mgumu sana jambo kama hili linapotokea lakini amini kuwa kila jambo lina makusudi yake.Mwombe muumba akujalie nguvu uweze kuwatunza vyema watoto wako. Si lazima uwe na mume ndio upate raha ya maisha.
 
Binadamu hatosheki hata ukimpa nini milele hataridhika eeeeeeh,
Leo atataka mvua, kesho atataka jua.

Nakusii wewe dada, wala usimng'ang'anie huyo jamaa, kwani atakuwa ni mateso kwako. Mwache aende huko anakoona kunamfaa, Milele hatatosheka.
 
Hili nalo mtu anahitaji ushauri? To me the choice is clear as daylight. She should dump him if she hasn't already been dumped by him and keep it movin'. Why stick around? For what? Shoot...it's not the end of the world for godsake.
 
Ni mwanamke wa miaka 30, alikutana na kijana chuoni , wakapendana na wakaishi pamoja wakafanikiwa kupata mtoto mmoja.baada ya hapo walifunga ndoa ya serikali.mungu akawajalia wakapata mtoto wa pili.baada ya hapo mwanaume alirudi chuoni kuongeza elimu zaidi. huko akakutana na mwanamke mwingine wakapendana na kumtelekeza mkewe , na sasa wanataka kufunga ndoa na huyo mwanamkewaliyekutana naye chuoni ndoa ya kanisani. mkewe alipomwambia kuwa kwa nn unafanya hivyo akamwambia Baba yake amemwambia aoe kabila lake na aoe kwenye uwezo, na mbaya zaidi ni kuwa amezaa watoto wakike tuu hajazaa wakiume .je huyu mwanamke afanye nn ? anaomba ushauri wenu.
Ahaa, kumbe hawa inaonekana walioana kisiri siri bila wazazi kujua. Huyo kijana kabla ya kufunga hiyo ndoa ya kiserikali kwani baba yake hakuwepo ili azuie isifungwe? Hapa naona kuna sababu nyingine.

Halafu mtoa mada hebu fafanua kidogo ili tuelewe. Je, kijana ni wa dini gani na huyo mwanamke naye ni wa dini gani? Baada ya kufahamu dini zao twaweza kuendelea kuchangia zaidi.
 
Hili nalo mtu anahitaji ushauri? To me the choice is clear as daylight. She should dump him if she hasn't already been dumped by him and keep it movin'. Why stick around? For what? Shoot...it's not the end of the world for godsake.

kuna wengine wanaona hwawezi kuishi bila fulani....japo li mtu linakusumbua/kutesa nafc yako lakini unang'ang'ana tu khaaa.
 
Ina maana ni watu wa imani tofauti? Nadhani ni mwanamke mkristu na mwanaume ni Muislamu. Kama ndivyo, huyu mwanamke hana jinsi, maana mume huyo anaruhusiwa na dini yake kuoa zaidi ya mke mmoja.

Lakini kama ni vice versa, basi huyo mwanamke ana kila sababu ya kwenda kwa paroko na kuzuia hiyo ndoa isifanyike mpaka watakapokubaliana kwa mambo fulanifulani nyeti kabisa ya kimaisha.
Huyo bwana anaonekana kuwa very irresponsible na si mpendaji bali mmegaji asiyewajibika.
PakaJimmy kwenye ndoa ya kiserekali kuna sehemu ambayo mwanandoa anatakiwa ajaze ikiwa ndoa hiyo ni
1. Ya mke mmoja
2. Wake wengi
3. Huwenda ikawa ya wake wengi yaani wake zaidi ya mmoja.

Nilifikiri hii ni sheria inayomlinda huyu mama kama mumewe alitick kwenye choice no. 1 kwa mantiki hiyo dini hapa inaingia??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom