Search results

  1. M

    Maswali 10 kwa Vodacom Tanzania!

    MJUMBE HAUWAWI! NAFIKISHA TU MESEJINILIYOIKUTA KWENYE BLOG MOJA:Maswali 10 kwa Vodacom Tanzania :Leo si siku ya 12 tangu promotion yashinda mamilioni ya jaymillionsilipoanzishwa na Vodacom Tanzania lakiniimekuwa ikilalamikiwa na watu wengikwenye mitandao ya kijamii na na mitaanikuwa "vigezo na...
  2. M

    Maswali kumi kwa Edward Lowassa na Wafuasi wake

    HIVI HIZI NI KASHFA DHIDI YA LOWASA AU NI FACTS? Nekutana na maswali fulani kwenye mitandao ya kijamii yakiwa yanamgusa E.Lowasa, binafsi sijaelewa kama ni kashfa za makusudi dhidi ya EL au ni facts 1 .Edward Lowasa gazeti la Raia Mwema la Novemba 2010 ,liliripoti na kuonyesha picha ya...
  3. M

    Rais Kikwete aongea na Wazee wa Dar: Adai pesa za Escrow ni za IPTL. Uteuzi wa Tibaijuka watenguliwa

    Huyu mzee hatumuelewi hata huyo jamaa aliyekaa hapo nyuma yake anasinzia mbaya na kama sijakose ni Usalama wa Taifa!!!
  4. M

    Nape Nnauye atoa Tamko Maalum la CCM kuhusiana na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini

    Nape wew nani asiye kujua kwa kubwabwaja..Unasahau ulivyokua ukinunua Dad poa hapa Arusha na kulala nae Pale Ngurudotto Hotel???? Kwanza ni mapema sana kutoa tathimn kwasababu matokeo meng hayajatumwa TAMISEMI na Sehem nyngn zaid ya 30% uchaguz haujafanyika...
  5. M

    Msaada tafadhali, kuna anaemjua huyu dada ? Very urgent

    Pdidy Nenda pale Fb kuna Group la Wataalam wa IT watakusaidia vilivyo
  6. M

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Kijenge kimenuka saf sana CHADEMA
  7. M

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Themi Mtaa wa Aicc Flats Chadem imekomba viti vyote na kuitupilia mbali kabisa
  8. M

    Biashara ya matunda

    Huhitaj kibali kwa Experienc yangu Ukiwa na Frem kama Ile ya Chps ndo inakua vzr zaid... Pia friji ni Muhimu kaka kwaajil ya kuhifadh matunda yapate ubard na yasiharibike!!
  9. M

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Jumatano, Tarehe 26 Novemba, 2014

    Kwa mujibu wa saa yangu zimebaki Dakika 51:::
  10. M

    Kumuona Daktari Tsh.10,000/=

    Hyo mbn kidogi mkuu Kuna Hosp moja Pale Arusha kwa Dr Urassa ni Tshs 50,000...
  11. M

    JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    Wauachie mzigo tunausbr kwa ham kubwa
  12. M

    Natafuta soko la Uyoga jamani

    Wadau nilnatafuta soko la uyoga Nimelima kilo 300 but kilo 100 zimeshapat mteja bado kilo 200 naomben Msaada wenu!!!
  13. M

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Inategemea na ukubwa w shamba kama ni shamba kubwa nakushaur uchukue Mota ya Power Tila ina nguv zaid na ni Diesel!!
  14. M

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    Mbona mashamba yanapatikana kamanda ni wew tu hapo Tpc moshi yapo kibao!!
Back
Top Bottom