Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,217
Hii laana Mh Pinda haitomuacha kabisa! Pinda aliandaa mazingira ya kutojadiliwa report ya escrow!
Sio Pinda sema CCM
Hii laana Mh Pinda haitomuacha kabisa! Pinda aliandaa mazingira ya kutojadiliwa report ya escrow!
Kumbe hadi huko wamefanya the same...
Kwa kweli mimi ninaamin mh. Profesa katia mkono si bure.. Halafu mbna harud?????
Daahhh nchi uzalendo sifuri
Tuwekee ripoti yote.
Spika anaweza kukamatwa kwa kutuzuga tu.Hawa wote lao moja tu.
Escrow ni kokoro.
Jamani JF huwa haina longolongo. Kuna mtu aliandika humu kwamba Marando na Myele wameenda kuping mahakamani Report ya Escrow isisomwe, watu wakapinga na kukanusha. Sasa hati ya mahakama inaonyesha Mnyele ambay ni partner wa Marando katika kampuni ya uwakili ya Marando & Mnyele Advocates ndiye wakili kinara katika shauri hili akiiwakilisha PAP/IPTL.
Yani kuanzia sasa ni utawala wa majambazi kwa raha zao; mtu ataenda kule Loliondo atauawa wamasai wote kisha akimbilie mahakamani kuzuia bunge lisiunde kamati ya kuchunguza. Sasa kuna haja gani tena kuwa na bunge? si mahakama zinatosha? hata raisi atazuiwa kumuondoa waziri madarakani yani ni shiiiiiida; mimi sijapata kuona mtoto akamuoa mama yake. Bunge linatunga sheria ili mahakama zitumie leo mahakama zinasimama kuliambia bunge msitunge sheria hii na hii yani serikali ikishawekwa mfukoni ni majanja. Stahili ya majambazi haya ingekuwa muda huu yako ndani kwa uhujumu uchumi na sio mahakamani kupeleka maombi ya kufukuza bunge kazi.kwa mujibu wa maelezo ya mwanasheria wa standard Advocates leo asubuhi kwenye redio uhuru FM mahakama hawako sahihi wameliingilia bunge.hivyo bunge lipo sahihi.