Natafuta soko la Uyoga jamani

Mapigo1

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
256
90
Wadau nilnatafuta soko la uyoga Nimelima kilo 300 but kilo 100 zimeshapat mteja bado kilo 200 naomben Msaada wenu!!!
 
embu tuoneshe picha ya uyoga mwenyewe na utuambie umelima wapi maana nao ubora unategemeana na eneo. wa rukwa unapendwa sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom