acha uongo mabomu yapo tabata kimanga jr
Chafdema mnamiliki kiwanda cha kuzalisha UONGO
teh teh, weka hayo yasiyopotosha mkuu!Invisible kwanini unaachia Kurugenzi ya habari ya CHADEMA ipotoshe matokeo hivi?
Tembomgwaza ni mtaa katika Kata ya kimanga
Hapa hawawezi kucomment kabisa wale wapumbavu wa UKAWA
mkuu hivi vi 3 vimeenda wapi?
Nccr je?
hapana jamani ulanga magharibi ccm7 cdm1, mitaa mingine uchaguzi umeahirishwa
Kama unayo yataje yawekwe...
morogo naijua hiyo ilishajifia kwenye kijani taabani!!! hata hivyo nasikia kidooogo huko khonda angalau chadm wanajitikisaNipo hapa jirani na ukumbi wa CCM 77 Morogoro jirani na Vijana Social Hall, miCCM inashangilia ushindi kwa kupiga taarabu na kufungua Champaigne....waliowengi ni wanawake na watu wazima fulani hivi. Vijana ni wachache sana.
Hivi kweli mpaka leo kuna watu hawaoni uozo wa hiki chama? Ama kweli ndiyo maana mkoa wa Morogoro ni Maskini sana na upo nyuma kimaendeleo.
Mwakyembe atajuta kuwabeza wanakyela, tunachukua wilaya yetu kwa bei ya jumla, lete matokeo mengine kamanda.:cheer2:
sio kimanga ni tembomgwaza pembeni nyumba yangu, barabara nyuma ya nyumba ndio mpaka wa kimanga na tembomgwaza, huko kimanga mnasikia sauti tu mchezo upo huku kisukuru (tembomgwaza)
kuna watu leo siwaoni humu ndani sijui wako likizo?