Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 51,989
- 23,501
Kuna simu imeibiwa kwenye harusi wapendwa, ni kweli kila mtu anakula ofisini mwake, ila harusi sio ofisi. Baada ya kuibiwa simu ile whatsapp inaonekana ilikuwa confg, so mhusika alipo renew line kwenye whatsapp yake anaona picha ya huyu binti ila namba haoni.
Msaada watu wa IT jinsi ya kupata namba yake, Zawadi kutolewa itakapopatikana
NB: Vigezo na masharti kuzingatia
Msaada watu wa IT jinsi ya kupata namba yake, Zawadi kutolewa itakapopatikana
NB: Vigezo na masharti kuzingatia