Search results

  1. witacha matiku

    Tetesi: Ni kweli Jakaya Kikwete anagombea uenyekiti wa kamisheni ya AU?

    Someni Applicant's criteria required for this position. Wengi mnaosema hawana sifa hizo.
  2. witacha matiku

    Tetesi: Maaskofu Katoliki wadaiwa kukutana na kujadili juu ya mkataba wa Serikali ya Samia na waarabu wa DP World

    Samia hana uwezo wa kulifuta Kanisa maana hakulianzisha. Acheni hadithi za kitoto kwani Rais na Kanisa kuna mahusiano mazuri mengine ni story za wenye njaa
  3. witacha matiku

    Bunge baada ya kuchokwa kwa muda mrefu wamekuja na kiki ya ku-trend

    Kuna watu mnakosa kumbukumbu ya mambo. Jaribu kutafuta taarifa kabla huja-post, moja ya wabunge waliongea sana kuhusu sakata la DPW ni Mpina na Msukuma bila kujali maoni yao. Tukubali kuwa suala la Bandari halikuwa la kutetea bali ni kushauri na kuonyesha dira sahihi ya uendeshaji wa bandari...
  4. witacha matiku

    Kijana mwenye uwezo wa Shughuli ya stationery

    Tarehe 7/9/2023 ni kesho just to arrange your timetable
  5. witacha matiku

    Kijana mwenye uwezo wa Shughuli ya stationery

    Uongozi wa Premium Institute unahitaji kijana mwenye uwezo wa Shughuli ya stationery na awe na sifa zifuatazo:- (i) Typing speed (ii) Ability to apply and use all basic computer programs (iii) Good customer care (iv) result driven etc. NB: You are not allowed to submit your academic and other...
  6. witacha matiku

    Moses Phiri ametushukuru wale Wote tuliompambania hadi sasa ameanza kupata Namba Kikosini na Kufunga pia

    Phiri ni Mwamba sio mapenzi kutoka Simba fans ila uwezo upo.
  7. witacha matiku

    Mikutano inayozungumzia mikataba haitokuwa na maana bila kutaja MOU ya Serikali na kanisa

    incredible story. 1992 Rais alikuwa Mwnyi ambaye alikuwa na nguvu zote za kimamuzi na katika utaratibu wa kawaida serikali haikuwa na namna kwa vile ilikuwa ni muhimu sana huduma za kijamii ķama hospitali kufika kwa wananchi na nguvu ya serikali kufanya hivyo ilikuwa ndogo lakini ndio namna...
  8. witacha matiku

    Korea Kusini nchi yenye hifadhi kubwa ya silaha duniani wakataa kutoa silaha zaidi kwa Ukraine

    Umeandika vizuri lakini kuna Makosa muhimu (technical errors) kwenye bandiko lako. Habari yako inatakiwa asome mtu ambaye ni mjuvi wa mambo otherwise can swallow wrong information. Kijana wa leo atajua Russia na Korea Kusini ni marafiki , Korea Kusini ni Member wa NATO. ALL IN ALL umeandika kitu...
  9. witacha matiku

    Mbunge wa CCM (Tabora) amdhalilisha mkewe hadharani

    Mwanamke hapa kazingua issues za ndani kaamua kuleta nje kama Mwanaume hiyo gut ya kutulia anatoa wapi? Mwanamke kajileta mwenyewe kisa Mkwanja kumbe tunda anagawa kwa watu wengine Mbunge kagundua huo wizi kaamua kutimua mtu. Guys remember kuona Rais wa Nchi, Waziri na hata Mbunge nae kuna vitu...
  10. witacha matiku

    Asilimia 90% ya wanawake na wanaume wanaoshabikia Simba na Yanga hawajui mpira

    Naked truth, kun Naked truth, kuna watu wanasema Simba ya sasa mbovu nawaza Simba iliyokuwa bora amabayo inge-challenge Raja au Wydad ni ipi ? Simba bora ya akina Okwi, Bocco , Kagere, Chama mbona 5G was mandatory system. Kiukweli hata Simba ya Miquissone, chama n.k isingeweza mziki huu wa sasa...
  11. witacha matiku

    UDSM utaratibu wa utoaji vyeti kwa wahitimu ni sifuri mjue kuna vijana hawana ndugu hapa Dar

    Hili nalo la kuandika kweli kuna vitu ni vya kumaliza hapo hapo. Vijana mnakwama sana punguzeni kulia kulia kila mtu ana mambo yake wakati mwingine. Be strong all the time.
  12. witacha matiku

    Ushauri: Vyuo vikuu vibaki vitano tu nchini

    Mbona kama umesoma kwenye vyuo hivyo ? "Incompetence products" All in all learners need environmental improvisation & not anything else.
  13. witacha matiku

    Kwako waziri wa TAMISEMI, angalieni na namna ya kuwachuja wanaoomba kazi za ualimu walau hata kwa "Online aptitude test"

    Kama umesoma vizuri mfumo ni set -lead criteria & total kwa hiyo Meneja itabidi asubiri candidates relating to criteria & number
  14. witacha matiku

    Kwako waziri wa TAMISEMI, angalieni na namna ya kuwachuja wanaoomba kazi za ualimu walau hata kwa "Online aptitude test"

    Ni wazo zuri lakini pia hata wewe huna taarifa toshelezi kuhusu wale wote ambao hawakufanikiwa kuwa ndio wazuri "BIG NO" Kada hizi zina idadi kubwa ya wahitimu na wengi pia wanahitajika kama utasema utumie mbinu ya mchujo kupitia interview basi rasilimali watu na pesa vitahitajika kwa kiasi...
  15. witacha matiku

    Nielewesheni kuhusu maombi haya ya kazi TAMISEMI

    Namanisha spelling errors e.g lovel -level etc Ni Muhimu sana kuandika hata wahusika wakipitia yes they appreciate kweli Msomi kaandika.
  16. witacha matiku

    Nielewesheni kuhusu maombi haya ya kazi TAMISEMI

    Edit kidogo ili uendane na Sifa ya nafasi hiyo.
  17. witacha matiku

    Changamoto nayopitia bank ya FNB

    Na tunavyoongea hapa Kampuni imeshauzwa(imeuzwa kwa nani story nyingine) hata baadhi ya wafanyakazi waliachishwa mapema kuanzia January to March. Njia pekee kutana na meneja ongea nae after there baba wao BOT anahusika kusimamia haki za wateja but visit FNB manager don't roam around with Brunch...
  18. witacha matiku

    Tamko la Makamu wa Rais kuhusu itifaki ya msafara wake ni tukio la bahati mbaya na halikupaswa kutoka kwake

    Nani alitakiwa kusema... Mpango is the Nani alitakiwa kusema Alichofanya ndio uongozi
Back
Top Bottom