Tetesi: Maaskofu Katoliki wadaiwa kukutana na kujadili juu ya mkataba wa Serikali ya Samia na waarabu wa DP World

Kwahio kama Raisi yupo na katiba ipo akifanya mambo ya hovyo asiambiwe au watu wasilalamike kwa sababu nchi iko kwenye mwamvuli wa demokrasia au sio? Stupid mofo!
Hao TEC wasingeingilia kama bunge lingefanya kazi yake kiweledi. Taasisi zote zinafanya kazi kichwa. unategemea nini hapo?
sio kweli kiongozi wa nchi angekuwa RC musingeongea kabisa ila yeye ni muislamu isitoshe munachuki dhidi ya waarabu na sababu kuu ni dini yao hakuna lingine hao waarabu wangekuwa ni maa RC tusingelisikia chochote acheni chuki zimeshapitwa na wakati
 
Binafsi sioni tatizo lolote maaskofu kujadili chochote kama wanaona kuna dosari wawe huru kupinga ,pia kuleta maoni ya kubadili chochote.
Nchi hii dini kuu ni mbili mbona mashekhe wanamikutano yao miskitini na hatuleti inshu , tuwape ndugu ze2 nao vilevile wafanye mikutano yao , ndo demokrasia hio

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
hao mashekhe unaposema wanamikutano yao na maudhui yao ni dini tu ama ujenzi wa misikiti hawaijadili kuhusu serikali na maamuzi yake maana serikali imeshikilia mihimili yote balaa la njaa mafuriko janga lolote serikali ndio mhimili mkuu sio taasisi za kidini
 
Basi ni kanisa la mashetani siyo kanisa la mungu. Kanisa la mungu wanatii ma.laka kama iliyoainishwa kwenye biblia ndo mana walokole wanazidi kuwa wengi na wanatoka hukohuko kanisa katoliki baada ya kugundua Hilo siyo kanisa Bali ni usanii tu
Mamlaka inayongia madarakani kwa wizi wa kura ina uhalali gani boss? Hakuna anayezuia muumini kwenda popote atakapo. Hivyo hata akiwa mlokole huo ni uamuzi wake.
 
Habarini wapendwa kanisa kama taasisi imara itakaa na kupitia kwa kina kile walichokikosoa kwenye mkataba wa dp world na samia km kweli yamefanyiwa kazi au kiini nacho tu.

Ikumbukwe mkataba haujaonyeshwa kwa umma ila viongozi wamekuwa wakitamka yale yaliyomo kwenye mkataba.

Kwa kuwa bunge halitimizi wajibu wake kanisa linawajibu wa kufanya kazi bila kuwa na konakona.

Katibu wa TEC alitoa muda kwa Maaskofu kupitia mikataba iliyosainiwa kabla ya kukutana.

Mungu ni mwema.
Hili kanisa sasa litaka chokochoko
 
sio kweli kiongozi wa nchi angekuwa RC musingeongea kabisa ila yeye ni muislamu isitoshe munachuki dhidi ya waarabu na sababu kuu ni dini yao hakuna lingine hao waarabu wangekuwa ni maa RC tusingelisikia chochote acheni chuki zimeshapitwa na wakati
Wapuuzi sana walimletea dharau rais SSH wakimuona ni mwanamama, wakasahau kuwa aliapa na akaushika msahafu siku ya kiapo.

Hawa waandike maumivu, hilo suala limekwisha malizika wajiandae kuhudumiwa na DP World pale bandarini.
 
Mi ningekuwa Samia ningelifuta kanisa katoliki halafu nione kama wataenda mahakamani. Sema tu ukilifunga unapukutisha ajira za mapadre na maaskofu mana huku mtaani hawaajiriki. Hakuna kampuni inayotaka elimu ya theology
Unaongea Kama umekatwa kichwa.
 
Mi ningekuwa Samia ningelifuta kanisa katoliki halafu nione kama wataenda mahakamani. Sema tu ukilifunga unapukutisha ajira za mapadre na maaskofu mana huku mtaani hawaajiriki. Hakuna kampuni inayotaka elimu ya theology
Samia hana uwezo wa kulifuta Kanisa maana hakulianzisha.
Acheni hadithi za kitoto kwani Rais na Kanisa kuna mahusiano mazuri mengine ni story za wenye njaa
 
Habarini wapendwa kanisa kama taasisi imara itakaa na kupitia kwa kina kile walichokikosoa kwenye mkataba wa dp world na samia km kweli yamefanyiwa kazi au kiini nacho tu.

Ikumbukwe mkataba haujaonyeshwa kwa umma ila viongozi wamekuwa wakitamka yale yaliyomo kwenye mkataba.

Kwa kuwa bunge halitimizi wajibu wake kanisa linawajibu wa kufanya kazi bila kuwa na konakona.

Katibu wa TEC alitoa muda kwa Maaskofu kupitia mikataba iliyosainiwa kabla ya kukutana.

Mungu ni mwema.
Tuokeni jamani, mungu tuokoe kwani shetani na genge la matapeli Tanzania wanatuumiza
Habarini wapendwa kanisa kama taasisi imara itakaa na kupitia kwa kina kile walichokikosoa kwenye mkataba wa dp world na samia km kweli yamefanyiwa kazi au kiini nacho tu.

Ikumbukwe mkataba haujaonyeshwa kwa umma ila viongozi wamekuwa wakitamka yale yaliyomo kwenye mkataba.

Kwa kuwa bunge halitimizi wajibu wake kanisa linawajibu wa kufanya kazi bila kuwa na konakona.

Katibu wa TEC alitoa muda kwa Maaskofu kupitia mikataba iliyosainiwa kabla ya kukutana.

Mungu ni mwema.
Shetani na genge la matapeli Tanzania wanauza nchi. Maaskofu tuokoeni jamani. Mungu tuokoe
 
Yesu hakuwahi ingia kanisani Wala Ibada zake hazikuhusiana na za kanisa za kula mikate,kunywa na kupiga makelele,alisali hekaluni/sinagogi na Wala hakutoa mapepo,kuponya watu,kufufua kwa makelele Kama kapandwa wazimu,Wala hakusema 'kwa jina langu pepo toka'
Kanisa ni mwili wa Kristo, Kristo ndiye kanisa, kanisa siyo jengo.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom