Nielewesheni kuhusu maombi haya ya kazi TAMISEMI

Exformer

JF-Expert Member
Nov 12, 2018
838
953
Kwenye nafasi hizi kuna ile ya kada ya afya ambayo ndani yake ipo nafasi ya ustawi wa jamio daraja la II.

VIGEZO: Uwe umesomea social Works, sociology, na related education concerned post hiyo.

Sasa kwenye kuapply nafasi hiyo, kuna ile sehem ya kuchagua lovel ya elimu yako pale. Cha ajabu wameweka
Degree(health), Advanced diploma (health) etc

Sasa hiyo health inataka nn hapo ilowa mm nina degree ya Community Development tu,

Je, hapo tunafanyaje?
 
VIGEZO : Uwe umesomea social Works, sociology , na related education concerned post hiyo.
Sasa kwenye kuapply nafasi hiyo..
Kuna ile sehem ya kuchagua lovel ya elimu yako pale
Cha ajabu wameweka
Degree(health)
Advanced diploma (health ) etc

Sasa hiyo health inataka nn hapo ilowa mm nina degree ya Community Development tu

Je, hapo tunafanyaje?
Ilikuwa siasa tu mzee ukienda ku apply hakuna kitu kwa baadhi ya kozi
 
Hivi viajira vmekaa kisiasa sanaaa.....hvo hvo kwa watu wa art wenye bachelor's kuna masomo yanakuja na kupotea in process of application wana draft hz mambo sjui huwaa wanakunywa ulaz mkali
 
Wapigie kwa namba yao ya huduma kwa wateja. Wanapokea vizuri kabisa na kutoa maelekezo.
 
Ndio ni sawa kabsa
Mwanzon hata hiyo course yangu kwa level ya bachelor ilikuw haipo, wameiongeza jana jion aisee
 
Hivi viajira vmekaa kisiasa sanaaa.....hvo hvo kwa watu wa art wenye bachelor's kuna masomo yanakuja na kupotea in process of application wana draft hz mambo sjui huwaa wanakunywa ulaz mkali
Sure man maan mm kipindi na apply kulikuw hakuna Course yangu kwa level ya bachelor et jana jion ndio wameiongeza

Nadhan wanapokea lawama nyingi sana
Na pia wamekaa ndan wenyewe tu wana modfy mfuma hawa jamaa
 
Community Development sijaona hiyo course zaidi pale kuna course za afya, sasa sijui inakuaje hapa!
 
Kwenye nafasi hizi kuna ile ya kada ya afya ambayo ndani yake ipo nafasi ya ustawi wa jamio daraja la II.

VIGEZO: Uwe umesomea social Works, sociology, na related education concerned post hiyo.

Sasa kwenye kuapply nafasi hiyo, kuna ile sehem ya kuchagua lovel ya elimu yako pale. Cha ajabu wameweka
Degree(health), Advanced diploma (health) etc

Sasa hiyo health inataka nn hapo ilowa mm nina degree ya Community Development tu,

Je, hapo tunafanyaje?
Kwani,ulipojaza kwamba umesomea community development,ili kuruhusu kuendelea au iligoma?
 
Community Development sijaona hiyo course zaidi pale kuna course za afya, sasa sijui inakuaje hapa!
Mzee mm nimetuma kwenye nafasi ya ustawi wa jamii daraja Ii ambazo tangazo linasema related fields ambayo inahusiana na Social Works ..pia hata community development au community economic development haipo mbali na hizo qualifications walizotaja
 
Naona na mimi imekubali mzee, pale kwenye selection nimeweka Health.
 
Back
Top Bottom