Unajifanya mjuaji kumbe kiazi paseee.... I bet utakua kajitu kafupi sana na kapumbavu fulani hivi mwenye low self esteem iliyopitiliza ndo maana huwa mnajifanya vijuaji juaji fulani hivi vishenzi.
Pitia profiles za wote waliowahi kamatia huo wadhifa ukianza na akina Salim Ahmed Salim na wengineo...
Mousa Fakhi anayemaliza muda wake ni former prime minister of Chad....
Hao higher profile citizen ni wanasiasa walio wahi hold vyeo vikuu vya kisiasa katika nchi zao....
Punguza ujuaji we kima utaaibika....
Mwanzo ulisema mwenyekiti ni Rais wa Mauritania bila kujua nini kinajadiliwa ukawa unabisha now unakuja na ngonjera nyingine...
Punguza makasiriko usije pata pressure bure, kuanza kuangaika na watu wasiokuja kula nyumbani kwako.
Sio mimi nilieweka vigezo vya hiyo nafasi ni hao AU wenyewe ndio wanaelezea ni strategic position inayohusisha mipango.
Link number one inaeleza majukumu ya commission katika kuandaa sera na mipango; kwa kuzingatia AU constitutive act.
Link number mbili inakueleza mwombaji anatakiwa apeleke CV na vision statement ya strategic direction za kisera. (na zinawekwa online) kama utaangalia hapo zipo. Hapo juu nimekuwekea vision statement ya chairperson wa sasa.
Link number tatu ni AU constitute act zinaelezea majukumu ya commission kuishauri AU na chini yake kuna idara ambazo huyo Chairperson anasimamia; kwa hivyo ni strategic post na yeye ndio chief strategists (hata kwenye link yao chairperson wameeleza wazi ni chief strategist kwa jina hilo hilo).
Sio masharti yangu ni ya AU.
Kuhusu JK kumuelewa inabidi ufahamu psychology ya ‘life events’ na madhara ya ‘lifestyle changes’. Maisha yake yote amekuwa centre of attention hadi kufikia nafasi ya juu, sasa ni ngumu sana kuacha mazoea kwa baadhi ya watu.
Hilo sio tatizo unique kwake ndio maana wazungu wakatengeneza module ‘supporting significant life events’ na kutoa counselling za kukubali new reality. Hiko ndio kinachomsumbua JK kwa sasa amezoea kushauri, kuongoza na kupewa attention; bado ajakubali kuishi maisha mengine nje ya hayo, even at reduced roles, still anataka kuwa wa juu.
As for your feelings towards people in a forum, that is your problem not theirs.
Tulishatoka huko kwenye mkanganyiko wa roles.Mwanzo ulisema mwenyekiti ni Rais wa Mauritania bila kujua nini kinajadiliwa ukawa unabisha now unakuja na ngonjera nyingine...
Wote waliowahi hold hiyo nafasi hakuna asiyewahi kuwa kiongozi mkubwa wa kitaifa....
Mousa Fakhi anayeondoka alikuwa waziri mkuu wa Chad.....
Unaonekana una utoto sana!
Unaelewa kinachojadiliwa? Umesoma heading kwa umakini? Punguza ujuaji bwanamdogo unadhalilika.Tulishatoka huko kwenye mkanganyiko wa roles.
View attachment 2912613
Hiyo nafasi Chairperson ya AUC nimekueleza ni strategic, inagombewa sio ya automatic rotation kama Chairperson wa AU (the titles are too similar).
Wagombea wanapeleka CV, wanaandika vision statement (nimekuwekea ya huyu aliyepo sasa ina agenda kama 8), kuna interview ya panel na nafasi ya ushauri zaidi kuliko kupokea ushauri.
Sioni JK akihitaji kwenda kwenye mchakato ambao kuna mgombea tayari na pengine wengine watafuatia aanze kushawishi panel yeye ndio anafaa zaidi, aanze kudadavua vision yake all that for what. Wakati ana public roles kadhaa tayari locally and internationally.
Usiku mwema, kabla ujaanza kisirani chako cha uzeeni 👋.
Huyu Mzee hafai kabisa. Kwa umri ule alipaswa kutoa ushauri wa kuijenga inchi na siyo kutetea ufisadi na kuwa sehemu ya ufujaji wa rasilimali za taifa.Hana mchango wowote ameharibu nchi hii anaenda huko kufanya nini ? Ameuza gas yote ya nchini nchi inahaha umeme wakati tuna gas haina faida kwa maslahi yake au hujui hilo ? Akija Rais makini huyu anatakiwa anyongwe
Na mimiRaila umempitisha na Nani?
Watusti watamuua lzmKama kikwete akipita!
Operation ya pale kongo itafana sana,nadhani umenielewa mjomba!!
Kitanukishwa hadi kigali Kwa moyo!!
Huyo mzee angepumzika zake tu aachane nahizo hekaheka
Someni Applicant's criteria required for this position. Wengi mnaosema hawana sifa hizo.binafsi sina hakika kuhusu JK.
but kiongozi wa upinzani kenya Raila Amolo Odinga imethibitika anamezea mate kurithi mikoba ya Fakii Mwenyekiti wa commission anaemaliza Muda wake 🐒
hata hivyo kwa record zake kitaifa na kimataifa,JK anafaa zaidi nadhani pengine kuliko kiongozi Mwingine mwenye nia hiyo Barani Africa
Akishindwa mimi inanisaidia kufurahi, na akishindwa vibaha inanisaidia roho kusuuzika kabisa 😆😆Nyie mkizeeka huwa mnakua wachawi..ashinde au ashindwe we inakusaidia nini?
Miongoni mwa wanaotajwa ni Raila na JK. Media za Kenya zinampambanisha Raila na JK ndo nauliza hii ni kweli jamaa anagombea?
AKA ACCOUNTING OFFICERFanya utafiti kuhusu AU Commission. Chairperson wa AU Commission ndio mtendaji mkuu wa AU