butron
JF-Expert Member
- Jun 3, 2013
- 5,367
- 7,436
Elimu bora inaanzia Primary na Secondary,sasa kama uku chini wanaandaliwa ovyoovyo;hiyo quality products utaipata wapi?Nashauri vyuo vikuu vibaki vitani tu vingine vifutwe. Huku maofsini tunapata shida sana kwa kuletewa incompetence products kutoka vyuo vya ovyo.
Wabishi bila kutoa solution , wavivu na wapinga majungu tu, wenye kutaka malipo makubwa lakini ufanisi kazini zero.
Nashauri vyuo vifuatavyo vibaki.
1. UDSM na matawi yake yote.
Hawa ni wajuzi. Wanakosoa bila uwoga na wanatoa alternatives. Ni wabishi kwa reasoning. Nawapenda.
2. SUA. Hawa ni mtu kazi . Hawataki longolongo. Sio wabishi japo hushauri kwa woga.
3. UDOM hawa wanatakiwa wawe chini ya uangalizi wa UDSM kwa miaka kadhaa. Wanapapara nyingi na kujipendekeza kwa bosi. Siyo washauri sana . Wanafuata tu wanachoelezwa na bosi. Ni walamba miguu ila wanafaa sana kwetu mabosi maana ni chawa.
4.St. Augustin ibaki main campus tu ya Nyegezi Mwanza.
5. Tumain University ya Iringa tu.
Pamoja na yote masomo ya saikolojia na filosofia pamoja na Research yatiliwe maanani sana.
Jiwe gizani atakayefanya ^ shiiiiiiii" ujuwe limempata
Chuo Kikuu ni ending point tu lakini inapaswa mkazo uanzie chini,shida siyo uwingi wa vyuo kwasababu ata Lecturers wengi wanaofundisha hivi vyuo vingine wanatoka hapohapo UDSM!!
Tupunguze sifa za kijinga kwenye utoaji wa Elimu, Wanafunzi wa Tanzania wengi ni incompetent haijalishi kasoma sijui UDS,UDOM et al kwasababu ya msingi mbovu wa elimu.