Search results

  1. E

    Jimbo la Vunjo mkoani Kilimanjaro hali tete

    Kuna tetesi kuwa Hali Vunjo ni Tete. 1. Huenda jimbo likagawanywa (Vunjo Mashariki na Vunjo Magharibi). 2. Chama chenye nguvu ya watu wengi ni CHADEMA hivyo itategemea hesabu za UKAWA kama zitakuwa za kusoma alama za nyakati. 3. CCM imechukua uongozi mji mdogo wa Himo.Hizi ni salamu za wazi...
  2. E

    BUNGE LA TANZANIA ni NGONJERA.

    Bunge la Tanzania linafanya kazi kama wacheza NGOJERA. Katika ngonjera, washiriki huanza kama kubishana lakini, mwishoni lazima wakubaliane. Hakuna ngonjera inayoishia kwa kutokubaliana. Hivyo ndivyo bunge letu watanzania lilivyo. Hakuna bajeti yoyote itakayoachwa kupitishwa na wabunge hata kama...
  3. E

    Waliochaguliwa kidato cha tano 2011

    Salamuni wadau na wahusika wengine., Naomba kufahamishwa kama MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO 2011 yameshatolewa. Tafadhali tujulisheni hapa.
  4. E

    Vuguvugu la mapindizi lanukia Tanzania

    Kuna uwezekano mkubwa vuguguvu la MAPINDUZI linaloendelea katika nchi za kiarabu kuibukia nchini tanzania. Sijui kama kwa tanzania litafanikiwa au la. Wachuguzi wa mambo ya siasa wanafikiri kuwa uongozi wa rais kikwete utakomea njiani. Pia inasemekana kuwa watanzania wengi wako tayari kujiunga...
  5. E

    Your help on YUTUBE, DVD, VCD and Audio CD.

    Please Educate me 1. if I can record in to CD some thing like songs from YUTUBE or 2. Can I record in to CD from a Radio playing through Internet?. 3. Can I change DVD into VCD or Audio CD?
  6. E

    Elections 2010 Hakuna uchaguzi mkuu Tz 2010

    Nikama hakuna uchaguzi mkuu Tz 2010 kwani kilichopo ni kuthibitisha wana CCM watakao endelea kuitafuna Tanzania. Mwezi October na Novemba utasikia hivi CCM IMESHINDA KWA KISHINDO. Kikwete rais tena. Hata magazeti yaweza kuanza kuandika kuhusu matokeo sasa na kusave kwenye computers zao ili...
  7. E

    KIKWETE: Hii ni zawadi au Ufanisi?

    Kuteuliwa kwa wabunge hawa: 1) Jussa -- Mkurugenzi wa Mambo ya Nje wa CUF. 2) Janet Mbene -- Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa Masaki kwa tiketi ya CCM, Kuna maswali ya kujiuliza. i) JK katoa zawadi kwao au vyama vyao? ii) JK amewateua kwasababu ya ufanisi wao? Semani hapa peupe msifiche.
  8. E

    NDOA ya jinsia moja Uganda

    Bado sheria kuhusu ndoa ya jinsia moja inazua utata nchini Uganda. Eti wapo watetezi wa ndoa hizi hawataki sheria kali. Hapo hapo Ureno imepitisha sheria ya jinsia moja huko ulaya. Sijui hili likoje kwa nchi nyingine za Afrika.
  9. E

    Patric Viera Ajiunga na Man City!

    Patric Viera anahamia MAN CITY, Umeipata hiyo? Itakuwa saaaafi sana kwa Mancity.
  10. E

    DINI ziko juu ya Sheria?

    Tafadhali nijuzeni kama dini ziko juu ya sheria au laa? Mbona sijawahi kusikia dini imeshitakiwa mahakamani? Sija sikia dini imefutwa. Hili likoje wadau.
  11. E

    Siasa ni kilimo

    Siasa ni kilimo, Hii ilikuwa ni sera ya zamani sana ya kisiasa hapa Tanzania. Japo sikuhusika nyakati za sera hii enzi za mwalimu Nyerere, bado nafikiri kuwa ilikuwa sera nzuri. siasa za siku hizi ni vijembe , mbwembwe na mikogo tu. CCM imesahau mambo ya Nyerere. Sijui kama CHADEMA yao...
  12. E

    SIPENDI WATU hawa

    Kuna aina nyingi sana za watu siwapendi. Siwapendi kabisa.
  13. E

    Tanzania tunahitaji uhuru

    Mimi binafsi naona kwamba:- Tanzania hakuna uhuru halisi. - UHURU unaosemekana kuwa upo ni uhuru wa Viongozi wa ngazi za juu. - Viongozi hawa wako huru KUINGIA hadi HAZINA kujichotea mapesa. - Viongozi hawa wako huru kutoshitakiwa hata kama uovu wa inajulikana. - Viongozi hawa wako huru...
  14. E

    HODI Wanajamii. Hodi hapa.

    Mimi ni Emma, Mwanamke mpenda haki, mtoa haki, muwazi na mkweli. Naomba ruhusa nianze kujumuika na wana jamii. Naahidi kufuata sheria za forum hii murua, Nitakuwa mimi kwa mitazamo yangu, Sitamuogopa mtu kwa jina, umri, uwezo, au jinsia, Nitamheshimu kila mtu hata kama hatajiheshimu binafsi...
Back
Top Bottom