Siasa ni kilimo

Emma M.

JF-Expert Member
May 15, 2009
204
6
Siasa ni kilimo,
Hii ilikuwa ni sera ya zamani sana ya kisiasa hapa Tanzania.
Japo sikuhusika nyakati za sera hii enzi za mwalimu Nyerere,
bado nafikiri kuwa ilikuwa sera nzuri.
siasa za siku hizi ni vijembe , mbwembwe na mikogo tu.
CCM imesahau mambo ya Nyerere.
Sijui kama CHADEMA yao, itazingatia hili .
 
Hayo yalikuwa ni moja ya maazimio ya Nyerere. lakini yote yalikufa mara tu baada ya yeye kung'atuka madarakani.
 
Back
Top Bottom