Search results

  1. P

    Kimya cha Mdee na Wenzake ni hatari kuliko kelele za viongozi wa CHADEMA

    Siyo vizuri kujadili na kulumbania jambo lililoko mahakamani hivyo nitajitahidi kuweka akiba ya mambo kadha wa kadha ili kulinda na kuheshimu uhuru wa mahakama. Viongozi wa CHADEMA wanapaswa kuheshimu mahakama kama ambavyo mahakama imekua ikiwaheshimu wao sikuzote. Wanapaswa kuelewa kuwa...
  2. P

    CHADEMA hujafa hujaumbika

    Ikumbukwe Prof. J ni mbunge mstaafu na mpaka sasa ni kiongozi wa Chadema (mwenyekiti wilaya ya Kilosa na mjumbe wa Baraza kuu na mkutano mkuu Taifa) Sarakasi za Chadema zimepekekea Raia kuhoji mambo mengi sana. Tena Bora wasingedandia treni mbele labda wasingeibua mijadala inayoendelea...
  3. P

    Mwaka 2020 ulikuwa uchaguzi kati ya Magufuli na Upinzani lakini mwaka 2025 kutakua na uchaguzi baina ya CCM na Upinzani

    Najua ukweli ni mchungu lakini nidawa hivyo lazima tuunywe ilitupone, na yeyote anayeshiriki kumnyima au kutompa dawa mgonjwa kwa wakati ni muuwaji na msababishaji wa madhara yeyote yanayoweza kumkuta mgonjwa. CCM tufanye siasa tuache migogoro na marumbano baina yetu. Tuache siasa za kuviziana...
  4. P

    Lissu na Lema hawataki Mbowe atoke gerezani?

    USALITI WA VIONGOZI WA CHADEMA KWA MBOWE "HAWATAKI MBOWE ATOKE GAREZANI!" Viongozi wa CHADEMA wanataka ruhusa ya kumpelekea MBOWE vyakula na vinywaji huko GEREZANI lakini hawataki ATOKE GEREZANI. Mbowe ni Baba wa Familia kama wewe Lissu na Lema hammtaki ndugu jamaa na marafiki tunamtaka. Wala...
  5. P

    Kwa teuzi hizi, Chadema muungeni mkono Rais Samia

    KWA UTEUZI HUU UNAOENDELEA KUFANYWA NA RAIS WA JMT MAMA SAMIA, TANZANIA ITAKAA SAWA. Kwanza nimpongeze Mh Rais kwa uteuzi alioufanya ilikuendelea kusuka kikosi kazi chake chenye lengo la kuleta tijazaidi katika maendeleo yetu. Niwapongeze wote walioteuliwa na wanaoendelea kuteuliwa kwasababu...
  6. P

    Rais Samia ndio kiboko ya Mbowe na CHADEMA

    RAIS WA JMT MAMA SAMIA KUMSTAAFISHA UENYEKITI WA CHADEMA NDUGU FREEMAN MBOWE IFIKAPO MWAKA 2023. Na; Philipo Mwakibinga Muda kidogo nilijiuliza sana bila kupata majibu juu ya azma na uamuzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Mbowe (Mwamba) kutangaza kuwa ifikapo Mwaka 2023 atang'atuka uenyekiti wa...
  7. P

    Rais Samia kamaliza kabisa leo Mwanza, ameahidi kutoa kipaumbele kwa vijana

    VIJANA TUKISHINDWA KUFANIKIWA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MATENDO YA MAONO HAYA YA MH RAIS MAMA SAMIA, BASI TENA. Na: Philipo Mwakibinga. Leo nimepata bahati ya kuudhuria Kongamano la Mh Rais wa JMT na Vijana wa Tanzania kupitia Vijana wa Wakanda ya Ziwa lililofanyika katika uwanja wa Nyamagana...
  8. P

    Kuendelea na minyukano ni kutoielewa dhamira ya Rais Samia

    Na Philipo Mwakibinga Rais Mama samia amedhihiri kuwa anataka Tanzania yenye kiwango kikubwa cha Demokrasia, ambacho kinapimika kwenye viwango vya Kimataifa. Badala ya kujifanya hatujamuelewa sasa tumsaidie ili Tanzania ya Wote iwezekutamalaki. Niwakati muafaka wa kilammoja wetu kujivunia hili...
  9. P

    Shaka, amuingiza zitto katika darasa la siasa Kigoma

    SHAKA: Zitto Acha Ulalamishi na Siasa za Kitoto Na Mwandishi wetu, Kigoma. Chama Cha Mapinduzi kimesema Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameanza kutapatapa na kutafuta mchawi baada ya kuona Jahazi la Chama chake likienda mrama kufuatia matokeo ya awali katika majimbo ya Muhambwe na...
  10. P

    ACT Wazalendo pelekeni salamu CHADEMA

    Napenda kumuambia rasmi kaka yangu Zitto Zuberi Ruyangwa Kabwe (Zizou Ziyaye Zinedine Yaziy Zidane) kuwa CCM hatunaga Shuguli ndogo. Kila uchaguzi kwetu ni muhimu na wathamani sana. Sisi siyo CHADEMA ambao wanakimbia uchaguzi mdogo wanashiriki uchaguzi Mkuu. Wakati Uchaguzi mdogo ndiyo unatafuta...
  11. P

    Wazazi na jamii kwa ujumla ni sehemu ya mfumo wa elimu

    Elimu Yetu: Tusiinyoshee kidole Serikali Peke Yake Maoni ya Dkt @RichardShukia, Mhadhiri, Shule Kuu ya Elimu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Kumekuwa na malalamiko kuwa mfumo wetu wa elimu hauwajengei vijana wetu maarifa na stadi za maisha. Kama jamii hatuwezi epuka lawama kwa sababu zifuatazo...
  12. P

    Kimya cha Halima Mdee ni hatari kuliko kelele za CHADEMA

    TATIZO NI MDEE AU NI KUTOTII DEMOKRASIA? Na. Philipo Mwakibinga 0758910403 Kwa muda sasa nimekua nikifuatilia minyukano inayoendelea ndani na nje ya Bunge kuhusu Wabunge 19 wa Viti maalumu wanaokataliwa na CHADEMA. Lakini kwa upande wangu naliona suala hili kwanamna hii; CHADEMA wanapaswa...
  13. P

    Rais Samia lazima awe Mwenyekiti CCM

    CCM HUWA IMARA ZAIDI INAPOTISHWA KIFO Na Philipo Mwakibinga. 0758910403. Ndugu zangu Wana wa CCM Kidumu Chama Cha Mapinduzi! Nawasalimu kwajina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba niendelee kusisitiza kuwa lazima tuendelee kusimama imara kama sote tunaamini Mungu na tunapokea kila...
  14. P

    UPINZANI WAPEWE RUKASA KAMA SHERIA INAVYOTAKA.

    Mh. Rais Mama Samia Suluhu naomba utoe kauli ya Kuwaruhusu Vyama vya Upinzani kufanya siasa zao kwa Uhuru ikiwepo mikutano ya hadhara kama zama za Mzee Jaka Kikwete. Sheria inawaruhusu ila tamko liliwakataza. Nimuhimu sana watu hawa ukiwafanya kioo chako dhidi ya Serikali Yetu.
  15. P

    Tuwe na tume ya kuchunguza mfumo wetu wa elimu

    MFUMO WETU WA ELIMU UNAHITAJI KUTAZAMWA KWA 'JICHO' LA PEKEE LA SIVYO TUTAENDELEA 'KUZINGUKA' Mheshimiwa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, Niungane na watanzania wenzangu kukupongeza kwa hotuba nzuri na maono yako kuhusu mwelekeo wa Taifa letu. Mheshimiwa Rais, kama ulivyogusia kwenye hotuba...
  16. P

    Waraka wa wazi kwa Rais wa Tanzania, Mama Samia Suluhu

    Waraka wa Wazi wa Mwalimu Shukia kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan. Wazo kuu: Elimu Bora ni Zao la Walimu Bora 1. Niungane na Watanzania wenzangu kwanza; kukupa pole kwa kuondokewa na mpendwa wetu, Hayati Rais John Pombe Magufuli; pili NIKUPONGEZE...
  17. P

    Tuwatumie wageni kwa manufaa yetu; Diplomasia ya kiuchumi baina ya China na Afrika

    DIPLOMASIA YA KIUCHUMI BAINA YA CHINA NA AFRIKA Tarehe 14/12/2020. Mahusiano ya China na Nchi za Kiafrika yanarejewa kwanzia karne ya 7 bk (baada ya Kristu) hadi sasa. Kwasasa China imekua na uhitaji mkubwa wa malighafi na masoko kwaajili ya kukidhi mahitaji ya viwanda na masoko yake. Wakati...
  18. P

    Wapo Wanasiasa waoga na wameshindwa kukabiliana vilivyo na Washindani wao

    WENZETU WAMEWEZAJE KUWA VIBARAKA WA MABEBERU? Uoga dhidi ya Washindani wao. Wapo Wanasiasa waoga na wameshindwa kukabiliana vilivyo na Washindani wao kisiasa katika Mataifa yao. Hivyo hufikiri na kuamini kuwa kwa kuomba msaada wa usaidizi kutoka kwa Mataifa ya Kigeni hususani ya Ulaya...
  19. P

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu hawezi kuwa Rais kwasababu hizi

    Hii ni kwasababu kwanza bado hajajua achague kipi kati ya kuendelea kuwa Mwanaharakati au Kujiandaa kuwa Kiongozi. Hali hii imemfanya afanye harakati sana hata anapokuwa kiongozi. Nivyema akabaki kuwa Mwanaharakati tu kwasababu huwezi kuwa Mwanaharakati halafu kiongozi hakuna kabisa kwenye...
  20. P

    Lissu heshimu NEC, kama unataka mdahalo njoo ufanye mdahalo na mimi

    Baadhi ya maneno aliyoyazungumza Mwakibinga Kama Tundu Lissu anataka mdahalo aje afanye mdahalo na mimi (Mwakibinga). Lissu anataka mdahalo na Magufuli ili kukaa karibu na uwaridi aweze kunukia
Back
Top Bottom