Philipo Mwakibinga
Senior Member
- May 13, 2013
- 111
- 175
Napenda kumuambia rasmi kaka yangu Zitto Zuberi Ruyangwa Kabwe (Zizou Ziyaye Zinedine Yaziy Zidane) kuwa CCM hatunaga Shuguli ndogo. Kila uchaguzi kwetu ni muhimu na wathamani sana. Sisi siyo CHADEMA ambao wanakimbia uchaguzi mdogo wanashiriki uchaguzi Mkuu. Wakati Uchaguzi mdogo ndiyo unatafuta mabega ya kusimama wakati wa kueleka na kipindi cha uchaguzi Mkuu.
Zitto anashangaa WanaCCM kama Mh Kassim Majaliwa, Mh Dkt Mpango, Mh Shaka, Mh Cecil Mwambe, Mh Nyarandu n wengine kuwepo kwenye kampeni. Anashangaa haya kwasababu ya neno "UCHAGUZI MDOGO" ahhaa! Hilo ni jina tu kutokana na Wakati na kiwango cha Uchaguzi husika lakini thamani na maudhui yake kwa CCM ni UCHAGUZI MUHIMU.
Zitto Yeye hakuwatuma akina Ado Shaibu wala akina Likapo Bakari na Nondo Abdul bali alikwenda Yeye na Haji Duni kwani wenyewe ni wepesi kiasi hicho!? Namkumbusha kuwa Siasa ya Chaguzi kwetu sisi siyo ya kupuuzwa ni Kazi kazi tena kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.
Zitto ahakikishe anajenga chama kitaasisi wala asijiingize kwenye siasa za lawama, matukio na kutegemea CCM tukosee ndiyo watumia hiyo fulsa. Lazima wajikite kiajenda na kimuono wala siyo kijanjajanja kama wale jamaa wanaogombea Viti maalumu 19 tu.
Kigoma Tumeshinda kwa Kishindo kikubwa kwasababu Upinzani bado wanaleta na kuendekeza siasa za kivulana kuliko za kimajukumu.
Ukitaka kujua nguvu ya CCM basi jifanye unajaribu kuhatarisha Uhai wake... Chadema wanajua maana walishaingia ndani ya 18 hadi sasa wanaogopa kuingia ulingoni wamebaki kutafuta huruma ya Mama.
Tanzania bila CCM itayumba.