Search results

  1. Bernard Rwebangira

    At umebarikiwa kuwa na hisia kali za ngono! pana ukweli wowote hapa??

    "Sex desire is the most powerful of human desires. When driven by this desire, men develop keenness of imagination, courage, will-power, persistence, and creative ability unknown to them at other time. Love, romance and sex are all emotions capable of driving men to heights of super...
  2. Bernard Rwebangira

    Jihadhari, New SCAM

    Nimepata leo kwa email yangu, baadaya ya ku-google nikakuta ni aina mpya ya scam ambayo mwisho wa siku utatakiwa utume pesa flani hivi, ni utapeli mpya huo tuwe macho Hi, My name is Barbara Backlund. I am on a volunteer job working with Global Youth Development and Peace Initiative...
  3. Bernard Rwebangira

    Gharama za Bango

    Heshima mbele wakuu, Naomba yeyote aliye na gharama halisi za kuandaa, kusimamisha na kulipia bango kuuuuuubwa ka ni yaonayo barabarani nchi nzima please. Kuna mtu alipata kunambia kuwa moja kwa hapa mjini ulipiwa Milion 40 kila mwezi, sina hakika sana na hilo ka kuna mwenye dataz please...
  4. Bernard Rwebangira

    Shida ya maji Kimara - Mbezi ya kutengeneza?

    Kuna stori naifuatilia kuhusu kasheshe ya maji maeneo ya Kimara - Mbezi, kama mnavyofahamu kwa wale wakazi wa maeneo ya Kimara - Suka - Temboni- mpaka Mbezi tatizo la maji limekuwa kama halitatuliki yaani uwezi amini kuwa pamoja na bomba kubwa kupita maeneo hayo lakini maji ya bomba kwa wakazi...
  5. Bernard Rwebangira

    Basi la Yanga...........

    Viongozi wa Yanga waweza kutujulisha basi hili lafanyanini ktk YADI HII?
  6. Bernard Rwebangira

    Ushawai tumia Google Translate? hebu jisomee hiyo Stori.

    Ajuza is between 90-100 years kubo has nyofolewa boast all the more his feet for two swords and the hospital is now being mahtuti. Ajuza he had experienced mkasa the weekend his home ward Ngerengere Sirari districts of Vientiane Inchugu Tarime district immediately. Region Commander...
  7. Bernard Rwebangira

    Mtoto huyu anaitaji msaada wetu wa hali na mali

    WADAU TUMSAIDIE MTOTO TUNTUFYE.. Mtoto Tumtufye Mwakasaka (8) ambaye kwa sasa amekatisha shule na kuja Iringa mjini kutafuta wasamaria wema kwa ajili ya kunusuru maisha yake baada ya mwili wake kuvimba mithiri ya pipa. Anaomba wabongo na wadau wote pamoja na Rais Jakaya Kikwete kusaidia...
  8. Bernard Rwebangira

    Kutabiria kifo wagombea, Sheikh Yahya akamatwe, ashitakiw

    by Joseph Mihangwa HABARI kwamba mnajimu Sheikh Yahya Hussein ametabiri ya kuwa mwana-CCM yeyote atakayejitokeza kuchukua fomu kugombea Urais kumpinga Rais aliye madarakani, Jakaya Kikwete katika uchaguzi ujao, atakufa ghafla, zimeibua hoja na hisia mbali mbali miongoni mwa jamii ya...
  9. Bernard Rwebangira

    I hate you Jo burg, I hate O.R Tambo I. A

    Fikilia waenda nchi au mji ambao wapewa tahadhariya usalama wako na mali zako ata kama ni kasimu ka promoshen kariakoo kila unapotaka kutoka nje upate japo upepo au kuona mandhari ya mji, nawe kwa kuofia usalama wako unatii na kwa hakika kila baada ya dinner rafiki yako ni TV ama kitanda,fikilia...
  10. Bernard Rwebangira

    Waafrika tumelogwa na nani??

    Six cabinet ministers are visiting China for talks with the Chinese government on ways to rescue the ailing Tanzania and Zambia Railway Authority (Tazara) from total collapse. Impeccable sources in the Infrastructure Development ministry have told ‘The Guardian’ that three ministers from...
  11. Bernard Rwebangira

    Best photo world

    Heshima mbele, Picha yaongea maneno alfu walisema wahenga, na picha hii ambayo si ngeni machoni pa wana JF wengi ilishika nafasi ya tano katika shindano la Radio Netherlands Worldwide. An international jury of leading journalists has evaluated all the eligible entries, and the...
  12. Bernard Rwebangira

    Al Shabaab recruits Tanzanians?

    Kuna hii taarifa ktk gazeti la leo la New Vision ambayo nimeikuta kule Bongo Pix kuwa wabongo wanasajiriwa na Al Shabaab kuiangusha serikali ya Somalia. Je kuna ukweli wowote? Serikali yasemaje kuhusu hili? UGANDANS are among the foreigner militants fighting alongside Al Shabaab to...
  13. Bernard Rwebangira

    Kutokumeza ARVs twamkomoa nani??

    Wabongo wenzangu hebu chekini hii news, DAR ES SALAAM, 27 October 2009 (PlusNews) - HIV-positive Tanzanians are not taking advantage of the availability of life-prolonging anti-retroviral medication in hospitals around the country, says a senior government official. An estimated 250,000...
  14. Bernard Rwebangira

    Ama kweli Wajinga ndo waliwao!

    Report: African countries losing millions Poor African countries rich in minerals are losing tens of millions of dollars in revenue that can be used to fund health, education and other social programs because of tax breaks and low royalties they have given to mining companies, said a report...
Back
Top Bottom