Search results

  1. Obhusegwe

    Credibility check: Enhance Auto

    Wakuu, habari ya mei mosi? Naomba msaada kama kuna mtu alishawahi kununua gari kutoka kwa hawa jamaa wanaitwa enhance auto: Japanese Used Cars Exporter Enhance Auto Kuna gari nimeliona kwao nataka nilifatilie sasa nisije nikalizwa bila kuuliza. Ahsanteni kwa msaada
  2. Obhusegwe

    **toyota vitz needed**

    Hi wana-JF Nahitaji gari, Toyota Vitz yenye specifications zifuatazo: 5 doors Automatic Transmission Less than 80,000km Should be in mint condition Color: Silver or Black Offer: TZS: 5,000,000 Mwenye nayo ani-PM au call 0767535989. Thanks
  3. Obhusegwe

    Kitchen Cabinets, wapi naweza kupata designer mzuri?

    Hi wana JF Nahitaji mtaalam au kampuni ya kudesign na kutengeneza cabinets za jikoni. Awe ana kazi halisi alizowahi kufanya, au samples kwny duka/workshop/show room yake. Kama ana picha, basi ziwe halisi alizopiga mwenyewe na si za magazetini. If you know one, please nijulishe. Namba yangu ni...
  4. Obhusegwe

    Inahitajika: Toyota Noah 2003 model

    Inahitajika Toyota Noah 2003 model Color: Iwe Silver Mileage: Isizidi 120,000 Gari liwe katika hali nzuri Budget: 10-11 million TZS Kama unayo ni-PM tufanye biashara. Simu 0767000641
  5. Obhusegwe

    Nafasi za kazi International Rescue Committee - Tanzania

    Hi JF members! My friend who is an international recruiter has asked my reccomendations for below job opporturnities. You can contact me (through PM) if you want personal reccomendations or e mail your CV directly to molly.abbott@rescue.org • Project Director...
  6. Obhusegwe

    Mbwa anahitajika

    Hello wadau. Anahitajika mbwa aliyekuwa trained vizuri. Nitafurahi kama nitampata na aliyemtrain kwa ajili ya kumzoesha kwangu pindi nikimnunua. Kama unaye, au unajua wanapopatikana, please let me know. Haijalishi ni aina gani, la muhimu awe trained vizuri. PM me au reply kwenye thread ni jinsi...
  7. Obhusegwe

    For Sale: Hp Pavillion dm4 laptop, HP Pavillion G6 laptop, iPad 2

    The following devices are available in Dar for sale: 1. HP Pavillion dm4 Laptop Condition: Used for 3 months, in mint condition Specifications: Screen size: 14" Processor: Intel (R) Core (TM) i5-2410M CPU @2.30GHz RAM: 6.0 GB System type: 64 bit operating system Operating system...
  8. Obhusegwe

    For sale: Laptop

    Make: HP Model: Pavilion dv6-323nr Entertainment PC Processor: Intel(R) Core(TM) i3 CPU M370 @2.4GHz 2.4GHz RAM: 4GB 64 bit Operating System HDD: 320GB, 5400RPM Genuine windows 7 Home premium Screen size; 15.4’’ Other features HP Protect smart HP SimplePass with fingerprint reader HP...
  9. Obhusegwe

    Xbox 360 adapter needed

    Hi guys Nimeunguza adapter ya xbox yangu, naomba msaada kama kuna mtu anayejua zinapouzwa hapa(dar tanzania) anijulishe. Au kama kuna fundi anayeweza kuifix, basi anijulishe kwa private message. Nitashukuru sana kwa msaada wenu (my gaming pleasure is on hold now! please help)
  10. Obhusegwe

    For Sale: Used Dell

    Ninazo DELL OPTIPLEX 210L Tower Desktops, ziko dar. Screen ni Flat (17''), Processor Intel Pentium 4 n series 3.6GHZ, 512 DDR2 RAM, 80GB HDD. Price ni laki nne na nusu tu. Piga simu 0767535988/0713535988 kama unataka kuziona any time btn 8am to 6pm. The availability will be on first come first...
  11. Obhusegwe

    Red Mercury Scam - Beware!!!!

    Red mercury scams were popular in 1990's after the disintegration of the soviet union. Some big shots like Saddam Hussein were the first among the victims of this scam as it was claimed that red mercury was an important component of nuclear bombs...that it could initiate fission reaction and...
  12. Obhusegwe

    Single room/studio apartment needed Urgently in Arusha!!

    Hi all!! I am in need of a single self contained room or studio apartment in arusha.Needed for rent at most one year. Should be in a good place with sufficient security. Prefered area >> Njiro, but any other area with good neighbourhood is ok. Budget less or equal to 100,000/=TZS depending on...
  13. Obhusegwe

    Used Dell Desktops at 350,000/= only!!

    Propeerties: -Dell Optiplex 210L n series -P.4, 3.0ghz, 512 RAM -80GB HDD -With 17'' TFT(Flat) Screen -Free UPS -In excellent condition!! Interested? Contact 0713535989 or PM
  14. Obhusegwe

    Mtaalam wa engine za D4

    Jamani watu wanasema hizi engine ni mbovu sana, lakini nadhani ni uelewamdogo wa jinsi ya kuzirepair kwani ni engine ngeni ukilinganisha na nyingine. Kama kuna mtaalam aliyebobea ktk ishu za engine, anikontact kwa PM nimpe dili la kazi, atapata wateja wengi kwani hizi engine zipo kibao siku...
  15. Obhusegwe

    House For rent

    Hello wana JF! Nina nyumba ya kupangisha yenye description zifuatazo: > Nyumba ya kisasa kabisa ya ghorofa moja > Ina vyumba 3 vya kulala juu, na kimoja chini (vyumba vyote vina choo na bafu) Master bedroom kubwa. >Sitting room na dining kubwa >Jiko kubwa la kisasa > Nyumba iko kwenye kiwanja...
  16. Obhusegwe

    For Sale

    Habari za leo wana J.F? Bidhaa zifuatazo zinauzwa; 1. Dell Optiplex 210L Desktop PC Intel(R) Pentium(R) 4, N series Procesor 3.0 GHZ 512 RAM DDR 80GB HDD 17'' TFT Monitor (Flat Screen) Used for 4 months only, in excellent condition. >Price 600,000/= TZS@. 4 UNITS AVAILABLE!! 2...
  17. Obhusegwe

    Toyota Spacio inahitajika

    Nahitaji Gari Toyota spacio lenye specifications kama hizi Rangi; Silver Mwaka 2000 au zaidi Liwe halijasajiliwa hapa nchini kwani nataka kutumia exemption Lenye cc ndogo litakuwa na advantage zaidi AT Transmission Vitu vingine kama kawaida mf pw, pS, srs airbag n.k Bajeti yangu inaanzia 8.0...
  18. Obhusegwe

    TTCL Kupunguza gharama za broadband

    Ndugu zangu watumia mtandao wa internet! Kuna habari nimezipata leo kutoka chanzo kimoja cha habari kuwa kuna uwezekano TTCL wakapunguza gharama za broadband kuanzia mwezi wa kumi. Habari hizi sijazithibitisha ila kama kuna mwenye data zenye uhakika naomba atumwagie make zinaweza kuwa habari...
  19. Obhusegwe

    ABA number

    Hello Wakuu!! I hope mnaendelea vzr. Naomba anayejua ABA numbe ya CRDB K'nyama Branch anisaidie hapa, nina shida nayo Thanks
  20. Obhusegwe

    Starlet inahitajika haraka sana

    Jamanieee!! Nahitaji starlet milango mitano kwa haraka sana. Iwe automatic, rangi grey au black au red, iwe ktk hali nzuri na isiwe imetembea zaidi ya km 100000. Kwa yeyote humu jamvini aliyenayo/anayemfahamu mtu anayeuza gari kama hilo naomba tuwasiliane hapa hapa au ani-PM, plz ur help'll...
Back
Top Bottom