Toyota Spacio inahitajika

Obhusegwe

JF-Expert Member
Dec 28, 2008
231
28
Nahitaji Gari Toyota spacio lenye specifications kama hizi

Rangi; Silver
Mwaka 2000 au zaidi
Liwe halijasajiliwa hapa nchini kwani nataka kutumia exemption
Lenye cc ndogo litakuwa na advantage zaidi
AT Transmission
Vitu vingine kama kawaida mf pw, pS, srs airbag n.k

Bajeti yangu inaanzia 8.0 m, ila inaweza kupanda kutegemea na condition ya gari

Mwenye kuwa na gari kama hilo tuwasiliane kwa pm au cell 0713535989

Thanks a lot

JF idumu!!
 
Back
Top Bottom