Red Mercury Scam - Beware!!!!

Obhusegwe

JF-Expert Member
Dec 28, 2008
231
28
Red mercury scams were popular in 1990's after the disintegration of the soviet union. Some big shots like Saddam Hussein were the first among the victims of this scam as it was claimed that red mercury was an important component of nuclear bombs...that it could initiate fission reaction and hence enabling creation of a small nuclear bomb the size of a tennis ball!!

Wakuu hii kitu nahisi imeingia bongo kwani kuna watu wameshaliwa zaidi ya 5m kwa kuahidiwa partnership katika biashara ya ''madini'' haya yanayodaiwa kupatikana Morogoro. Nimeona nipost hii kitu ili kama kuna mtu mwingine amesikia tusaidiane kuwaepusha watz na wizi huu kwani wengi hawana elimu ya kugundua scammers!!

Kwa information zaidi kuhusu Red Mercury Scams gonga HAPA
 
Red mercury scams were popular in 1990's after the disintegration of the soviet union. Some big shots like Saddam Hussein were the first among the victims of this scam as it was claimed that red mercury was an important component of nuclear bombs...that it could initiate fission reaction and hence enabling creation of a small nuclear bomb the size of a tennis ball!!

Wakuu hii kitu nahisi imeingia bongo kwani kuna watu wameshaliwa zaidi ya 5m kwa kuahidiwa partnership katika biashara ya ''madini'' haya yanayodaiwa kupatikana Morogoro. Nimeona nipost hii kitu ili kama kuna mtu mwingine amesikia tusaidiane kuwaepusha watz na wizi hukwani wengi hawana elimu ya kugundua scammers!!

Kwa information zaidi kuhusu Red Mercury Scams gonga HAPA

asante mkuu!nilikuwa najua aina hii ya usanii ila recently watu kadhaa walikuja na more advanced way kidogo wanilize.ni vizuri kukumbushana!
 
Pole. Wajanja sana, na siku hz wanatumia kila mbinu kuwaliza walalahoi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom