Starlet inahitajika haraka sana

Obhusegwe

JF-Expert Member
Dec 28, 2008
231
28
Jamanieee!!
Nahitaji starlet milango mitano kwa haraka sana. Iwe automatic, rangi grey au black au red, iwe ktk hali nzuri na isiwe imetembea zaidi ya km 100000.

Kwa yeyote humu jamvini aliyenayo/anayemfahamu mtu anayeuza gari kama hilo naomba tuwasiliane hapa hapa au ani-PM, plz ur help'll be appreciated

Thanks
 
Unatoa bei gani tukuagizie autotrader
 
Unatoa bei gani tukuagizie autotrader

Kwa kusema ''haraka'' namaanisha nahitaji ambayo iko hapahapa bongo, kuagiza nje'll take a month or so, muda ambao utakuwa umeshachelewesha saaaaana.
 
Well, unaweza cheki yaadi za bongo hapo mbiona zipo nyingi tu
 
bm21, hebu bofya hiyo link kama haitakuwa useful niite mjinga, hiyo inakupeleka tzadverts, na kunakipengele cha car 4 sale, nilipotembelea juzi niliona kuna starlet full registered & duty paid.
 
Well, I saw it man
 
hi man
nina starlet ya mwaka 1999, rangi ya grey metallic, automatic transmission na imetembea km 120,152... , lady driven na iko kweny hali nzuri sana, service jana na tairi mpya....interested?! send me a private msg for more details
 
Jamanieee!!
Nahitaji starlet milango mitano kwa haraka sana. Iwe automatic, rangi grey au black au red, iwe ktk hali nzuri na isiwe imetembea zaidi ya km 100000.

Kwa yeyote humu jamvini aliyenayo/anayemfahamu mtu anayeuza gari kama hilo naomba tuwasiliane hapa hapa au ani-PM, plz ur help'll be appreciated

Thanks
ninayo dark blue...iko poa.

tuwasilianae
 
Nashukuru sana wakuu kwa ushirikiano, mzee kilambi nitakucontact muda si mrefu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom