TTCL Kupunguza gharama za broadband

Obhusegwe

JF-Expert Member
Dec 28, 2008
231
28
Ndugu zangu watumia mtandao wa internet!

Kuna habari nimezipata leo kutoka chanzo kimoja cha habari kuwa kuna uwezekano TTCL wakapunguza gharama za broadband kuanzia mwezi wa kumi. Habari hizi sijazithibitisha ila kama kuna mwenye data zenye uhakika naomba atumwagie make zinaweza kuwa habari njema kwani gharama ya internet bado iko juu mbali na ujio wa fibre optic cable.

Naomba kuwasilisha
 
Bei mpya zilikuwa kwenye site yao hivi karibuni:
http://www.ttcl.co.tz/broadband_pricing.asp

Lakini naona wameziondoa.

Punguzo lilikuwa kwenye bundles tu, na bei ya 1MB nje ya bundle ilikuwa inabaki 95TZS. Bei mpya zilikuwa kama ifuatavyo:

1GB => 30,000
2GB => 60,000
4GB => 100,000
10GB => 200,000
20GB => 360,000
40GB => 450,000
100GB => 1,000,000

Inawezekana wameamua kuzificha kwanza mpaka zitakapoanza kutumiaka.

Au inawezekana wameamua kuzipitia upya baada ya kupata feedback za watu kuhusu hizo bei.
 
bei hizo zitaanza kutumika rasmi October 1st
 
Mkuu kwani bei ya sasa ikoje? Nasikia tu bei ipo juu lakini sijui ikoje
 
Mkuu kwani bei ya sasa ikoje? Nasikia tu bei ipo juu lakini sijui ikoje

Bie za sasa ni mara mbili ya hizo, yaani size ya kila bundle imeongezwa x2 :

Bei ya sasa:

450MB => 30,000
1GB => 60,000
2GB => 100,000
5GB => 200,000
10GB => 360,000
20GB => 450,000
50GB => 1,000,000

Pengine Bei ya baadaye:
1GB => 30,000
2GB => 60,000
4GB => 100,000
10GB => 200,000
20GB => 360,000
40GB => 450,000
100GB => 1,000,000
 
Nichangie. Katika hiyo bei mpya, kila MB moja ni shilingi 50 lakini ikiisha kabla ya mwezi ukienda kuongeza utachajiwa kila MB moja shilingi 75.
lakini pia unaweza ukanunua ile kadi ya shilingi Alfu 10 ambayo unachajiwa shilingi 95 kwa MB moja lakini utumie hiyo Alfu 10 yako katika muda wa siku 14. Siku 14 zikiisha bado kuna hela, mathlani umetumia shs alf 4 katika hiyo alfu 10 na zimebaki Alfu 6, Zinaliwa!!
 
Siku 14 zikiisha bado kuna hela, mathlani umetumia shs alf 4 katika hiyo alfu 10 na zimebaki Alfu 6, Zinaliwa!!

Hii ndo kitu huwa inanikera na hawa watu wa ttcl! kwa nini wasiruhusu mtu ukinunua GB kadhha unatumia mpaka zitakapoisha ndo service inakatika? Huu utaratibu wa sasa siupendi kabisaa!!
 
Je wadau kuna mtu yoyote anafahamu bei ya mobile broadboand ina cost bei gani kwa mwezi??I mean kama unajuwa mobile broadboand ya kenya kiasi chake kwa mwezi au hata mobile broadband ya tanzania kiasi chake kwa mwezi pia....Nitashukuru kama nikifahamishwa!!
 
Back
Top Bottom