Search results

  1. wajingawatu

    Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro ni miaka mitatu sasa bila matengenezo: Je, TARURA Morogoro Mpo?

    Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro zimeharibika hadi kero. Ndugu zetu wahusika, yaani TARURA, wanavuta mpunga tu na kuotesha vitambi bila kujali wakazi wa Manispaa hi pendwa wanateseka kwa barabara zetu kukosa matengenezo. Ubovu wa barabara hizi ni wa muda mrefu, yapata miaka...
  2. wajingawatu

    Tarehe 21-04-2023: Simba watabatizwa kwa moto

    Klabu yenu pendwa ya Simba imepangwa na bingwa mtetezi wa Caf CL, Waidad Casablanca, kwenye robo fainal ya Caf CL. Kwa wale wasioifahamu vizuri Waidad AC, nawaomba mje kwa Mkapa hapo tarehe 21/04/2023, ili mshuhudie klabu yenu pendwa ikibatizwa kwa moto. Kile kipigo cha tatu, tatu...
  3. wajingawatu

    Polisi wapandisha bei za stika kutoka Tsh. 3,000 hadi Tsh. 7,000, ongezeko la zaidi ya 133%

    Wakati watu tunalia vitu kupanda bei bila kujali uchumi wa wenye nchi, Polisi wamepandisha Bei ya stika ya Saloon car hadi Tsh. 7,000 kutoka Tsh. 3,000. Ukiwauliza hizi stika zinapunguzaje ajali, wanakuwa wakali.
  4. wajingawatu

    Bodi ya mikopo (HESLB) kumgomea Waziri. Je, huyu Waziri anatosha?

    Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu wamemgomea waziri wa elimu, kwa kuipiga stop kamati yake chunguzuzi kukanyaga HESLB. Kutokana na uzito wa wajumbe wa bodi hiyo, waziri alishindwa kuwafanya kitu na badala yake aliibukia kwenye media na vitisho uchwara kwamba atawala vichwa...
  5. wajingawatu

    CAG achunguze gharama halisi ya Kombe la premier league. Haiwezekani kombe hilo la plastic liwe limegharimu laki mbili

    Nimepata tetesi kwamba kombe letu mpya ni la plasti na limegharimu TFF kiasi cha Tsh 200,000. Kwa kuwa nahisi harufu ya ufisadi-kwani kwa makisio ya haraka kombo hilo halizidi Tsh 20,000/= pamoja na usafiri kutoka china kwa ndege. Hivyo kuepusha pesa za walipa kodi kuliwa na wajanja wachache...
  6. wajingawatu

    RE: Gee (gyee)china

    Naomba waliowahi kuagiza bidhaa yoyote China kupitia hii kampuni ya Gyee China watupe ushuhuda. Hawa jamaa wana bei ndogo kwa bidhaa yoyote uagizayo kitu kinachonipa fadhaa ya moyo Hawa jamaa wanadai wana ofisi Tabat barakuda, DSM
  7. wajingawatu

    Kwa nini mauaji yamekua yakiongezeka siku hado siku?

    Kumekua na ongezeko la mauaji ya watu hasa nchini kenya na Tanzania siku za hivi karibuni. Tumezoea kusikia mauaji ya kinyama huko marekani, india na ulaya lakini si Africa Je, ni nini kinasababisha watu kuuana wenyewe kwa wenyewe na hii tabia inawezaje kukomeshwa?
  8. wajingawatu

    Shule za Serikali kufanya vizuri kuliko za Binafsi: Je, ni mkakati wa kuzifuta shule binafsi, kama walivyokuwa upinzani?

    Sioni sababu ya shule za Sekondari za Serikali kufanya vizuri kuliko za watu au mashirika binafsi. Ila naamini kuna mkakati wa kuzifuta shule za binafsi kwa njia ile ile iliyotumika kuvidhoofisha vyama vya upinzani. Wenye povu au hoja tofauti mnakaribishwa.
  9. wajingawatu

    Idadi ya ya mabati na mbao

    Ninaomba wenye utaalamu wa kukadiria vifaa/gharama za ujenzi anisaidie kupata idadi ya bati kwa hali yenye ukubwa wa 15.3 x 13.5. Paa nne
  10. wajingawatu

    Nahitaji red garnet ya gololi; amethyst, rhodolite, zircon

    Nahitaji madini tajwa kiasi cha kilo 50 kwa kila aina ya kito. wenye moonstone, sunstone, tourmaline ya aina yoyote na kiasi chochote tuwasiliane
  11. wajingawatu

    Nahitaji kiwanja au nyumba ya kisasa mtwara

    Nahitaji kiwanja medium au low density Mtwara mjini. kiwe kwenye maeneo ya wenye nazo au karibu na bahari. Kwa wenye nyumba ya kuuza mtwara maeneo mazuri na au karibu na bahari tafadhali tuwasiliane.
  12. wajingawatu

    Hebu tupe maoni yako: Nini kitatokea 28/10 NEC wakitangaza Lowassa wa UKAWA ameshinda

    Hebu tupe maoni yako ni nini kitatokea ikiwa NEC 28/10 watamtangaza ENL kama mshindi wa urais. Toa mani yako pia ikiwa NEC watamtangaza JPM kama mshindi.
  13. wajingawatu

    Toshiba satellite U 505

    Ninahitaji Toshiba Satellite U505, Duo Core Intel processor, 4GB RAM, 500GB HDD, WIFI, etc ,mpya, iliyotumika au mbovu. Mwenye nayo anijuze. Bei itategemea na hali yake.
  14. wajingawatu

    Natafuta Mke

    Natafuta mke mwenye vigezo vifuatavyo: 1) Awe na sura ya kuvutia (namba 8) na rangi ya ngozi asili 2) Elimu kuanzia Masters na kundelea 3) Awe tayari ameamua na kuelewa maana ya kuwa mke 4) Mcheshi, asiye na nyodo,mwenye mapenzi kwa watu wote 5) Mwenye uwezo wa kushauri na kushawishi 6) Awe na...
  15. wajingawatu

    Ujenzi chini ya kiwango wa baadhi ya barabara manispaa ya Morogoro

    Baadhi ya barabara za manispaa ya Morogoro zinajengwa chini ya kiwango. Barabara hizo e.g. Uhuru street, barabara ya kwenda Morogoro hotel, kutoka Masika hadi Misufini na ile inayoanzia Oilcom Kihonda hadi kama ipo ipo tu zimeishaharibika licha ya kujengwa kipindi cha hivi karibuni. Kwa imani...
Back
Top Bottom