Search results

  1. Nahonyo

    Maada naomba kujuzwa app ya kudownloard video youtube

    wana forums, naomba msaada wa kujuzwa app ambayo naweza kushusha video yaani ku (downloard) video youtube, asanteni.
  2. Nahonyo

    Barabara hii ya kimataifa na lango la uchumi, serikali iiangalie .

    Barabara ya Mandela hasa kuanzia ubungo hadi bandalini, haikidhi haja kutokana ubebaji wake malori mengi. Barabara hii ya kimataifa, inayopitisha malori mengi, yakiwemo yanatokea nchi za jirani, ikimbukwe ni lango kuu la uchumi wa Tanzania, ila inaonyesha serikali hailioni hili. Barabara ina...
  3. Nahonyo

    Napenda sana kula pweza, ila wauza pweza wa Dar asilimia 99 ni Wachafu na wala hawajui usafi ni nini

    Nimekua mpenzi sana wa kula pweza, ila kula pweza Dar, kwa hawa wauzaji wetu barabarani, inataka uwe unafanana nao, usijue uchafu ni nini. Unaona mtu amechagua mkia wa pweza, anaomba akatie vipande, jamaa anashika kwa mkono tu bila kunawa, akili ya kutumia uma, kushikia pweza anaekatwa hawana...
  4. Nahonyo

    Ukristo ni Dini inayoendeshwa kwa dhana ya kitapeli, kuliko kusimamia ukweli

    Kuibuka kwa makanisa ya kilokole, kuliwapa waamini wa kikrsto tamaa, kuwa ukiwa mlokole, basi utakuwa karibu na Mungu. Watu wengi wakahama makanisa yao ya ki Mungu, kama Roman Cathoric na kuhamia hivi vikanisa vya watu binafsi, vya watu wenye malengo yao, mbali na Mungu. Kuna mtu ninae...
  5. Nahonyo

    Msaada: Naomba kuelekezwa hatua za kufanya ili kulipia deni la paking TARURA

    Nina deni la paking Tsh. 1,000 wiki ya pili sasa ingawa sijui hili deni nimelipata nikiwa nimepaki wapi. Nimehangaika kilipa ila nashindwa, wameweka namba za kulipia, ila hatua gani za kufuata ili, kuweza kulipia. Namba zao za huduma kila nikijaribu kupiga hazipo hewani. natangulisha shukrani.
  6. Nahonyo

    Tunaomba kivuko barabara ya kwenda Stendi ya Magufuli

    Barabara ya kwenda Stendi ya Magufuli, inayoanzia pale kwenye mzinguko stend ya zamani kwenda stendi ya magufuri, haijawekwa tuta, ama alama ya Zebra, kama sehemu ya kuvuka wenda kwa miguu. Ni kweli Tanroads, hawajui kuwa barabarani hii huvukwa na wakazi wa maeneo yale ya karibu. Umuhimu wa...
  7. Nahonyo

    Msaada kuhusu Instagram, kukataa kuingia (Log in)

    Jana kila nilipokua naingia instagram, ilikua ina corrupt, na Simu kurudi ukurasa wa mwanzo yaani Home Screen, nimejaribu mara kadha kuingia bado ikawa ina fanya hivyo, na simu kuwa mzito kwenye App hiyo tu. Baadae nikaamua kuai Update, na hapo ndipo tatizo lilipo zidi, kila niki log in haitaki...
  8. Nahonyo

    Kwa kilichotokea Mombasa Kenye, kwenye kivuko cha likoni, kinasikitisha na kimeonyesha udhaifu wetu nchi za Afrika.

    Hivi watu wanatumbukia baharini, alafu siku inakatika bila harakati zozote za uokoaji, harakati za kuendesha vivuko, zinaendelea kama hakuna kilichotokea. Kivuko kinaendeshwa bila vifaa vya uokoaji wala wazamiaji, waliotayali pindi ajali inapotokea. Eti watu wanakaa vikao, vya kujadili ajali...
  9. Nahonyo

    Watangazi wa kipindi michezo Radio uhuru ni mapenzi ya timu au ni kudhani Yanga ni timu ya Chama, na Simba kuona ni Wapinzani

    Hii Radio ya Chama tulitegemea itangaze kwa kuwaunganisha wananchi, badala ya yake yenyewe inawagawa watu. Watangazaji hawa kipindi cha cha michezo siku zote ni kuishambulia Simba, na wala hawaonyeshi kusimama katikati. Kwa mfano sasa hivi kuna fukuto la Kilomoni na Club, Watangazaji wote wa...
  10. Nahonyo

    Samsung A30 inauzwa kwa bei nafuu

    Samsung A30 Ram 4GB na memory 64GB inauzwa imenunuliwa dukani tarehe 12 jun 19 Kuna mtua aliitaka nimtumie huko mkoani ila ana maelezo mengi sana. Simu ipo mbezi Luis hata kujaribu tu kuweka laini bado Bei 450,000 Kwa anahitaji PM Ningependa anagitaji aione ajiridhishe, na ikiwezekana anunue...
  11. Nahonyo

    Imefika wakati wa kupanua kituo ambacho mabasi toka mikoani hushusha abiria

    Kituo wanacho shushia abiria toka mikoani, sasa inafaa kipanuliwe, kama ilivyofanyika pale kibamba. Hii haitaji garama ya lami ni kuondoa tu ule mlima, ili mabasi yaingie kwa ndani kidogo. Mbezi tangu barabara ya Segelea iwekwe lami kwa % 90, abiria wengi wa maeneo ya Gongo la mboto, Segerea...
  12. Nahonyo

    Wanamsimbazi Twendeni Tukaishangilie timu yetu

    Wanamsimbazi twendeni, tukawape motisha wachezaji wetu, na timu kijumla. Utofauti wetu na vilabu vingine ni pamoja kuwa na mashabiki kama sisi, kwahiyo basi twendeni tukawape hamasa wechezaji wetu. Leo kutakua na kandanda safi lenye burudani tele, na kamwe huwezi angalia mpira huu wa leo ukiwa...
  13. Nahonyo

    Leo nimewakumbuka waimbaji hawa

    Leo katika pekua pekua kwenye kumbukumbu zangu, nikakutana na karatasi, nilikua nimeandika majina ya wanamuziki ambao nikua na kanda zao, (Tap) Nikaona ni share na member wenzangu hapa, nadhani nanyi itawakumbusha mziki wao. Leo nitaweka majina yao tu, muda mwingine nitaweka na baadhi ya nyimbo...
  14. Nahonyo

    Polisi mnotosha maana loss riport au

    Mtu anaeishi Tanzania anapo potelewa na kitu mfano: kadi ya bank, kitambulisho cha kazi ama nyaraka muhimu zinazo muhusu, anatakiwa kwenda kuripoti polisi kwa ajili ya kupatiwa loos liport, ila kwa bahati mbaya ukienda polisi mara tu baada ya kupotelewa huwezi pata loss riport, mpaka uwe na...
  15. Nahonyo

    Tahadhari: Juu ya utapeli wa watu wanaojifanya ni wafanyakazi wa benki

    Leo mnamo saa 116:55, nilipigiwa simu na mwenye no 0623742158, akijifanya mfanyakazi wa benki ya NMB, upande wa huduma kwa wateja. Kwanza alipojitambulisha hivyo kengele ya hatari ikisikika masikioni mwangu, nikajuuliza leo lini, jibu ni mwalimu nyerere day, maana ni siku ya mapunziko, kotengo...
  16. Nahonyo

    Nisaidieni jina la wimbo huu

    Samaha wazee wenzangu hususani wapenzi wa Muziki, kuna wimbo nautafuta, uliimbwa na Sikende, wimbo unaanza kwa neno: Ndugu na jamaa wameniweka kando, kuwa hunifai eeh ehee x2 Nilikuweka moyoni mwangu kama mziwanda ooh Aisha.
  17. Nahonyo

    Polisi mbezi mwisho waangalie boda boda ni biashara halali.

    Leo asbuhi mama aliekua abiria kwenye boda boda, alikua akilalamiki kwa dereva wake, wewe, wewe, wewe, naangalia nikamuona mama mguu mmoja uko kwenye pikipiki, mguu mwingine ukikanyaga chini. Mwenye pikipiki hakujali kilio kile kitendo kilichomsababisha yule mama kujiachia vibaya na kuangukia...
  18. Nahonyo

    Uwanja wa uhuru ule mfeji wa barabarani ufunikwe.

    Uwanja wa uhuru, milango yake ya kuingilia na kutokea watu wa kawaida imewekwa upande wa barabara itokayo Buguruni, kwenda Kurasini. Pembeni mwa barabara hii kuna mfereji mkubwa sana uliejengwa na watengeneza barabara hii, wao sina shida nao kwa kuwa walijenga kabla ya ukarabati wa uwanja huu...
  19. Nahonyo

    Wanaohusika na Uwanja wa Taifa waone aibu kuhusu vyoo

    Ukienda leo uwanja wa mpira wa miguu, unapokaribia tu kumaliza ngazi, ili uingie uwanjani, unakaribishwa na harufu mbaya ya vyoo. Ukiingia huko vyooni hasa vyoo vya kiume ambavyo mimi ni mdau, hali inatisha, vyoo vimeziba mkojo umejaa kwe ule mfereji wa kukojolea, yaani ukichota waweza pata...
Back
Top Bottom