Nahonyo
JF-Expert Member
- Dec 28, 2012
- 5,374
- 5,016
Barabara ya Mandela hasa kuanzia ubungo hadi bandalini, haikidhi haja kutokana ubebaji wake malori mengi.
Barabara hii ya kimataifa, inayopitisha malori mengi, yakiwemo yanatokea nchi za jirani, ikimbukwe ni lango kuu la uchumi wa Tanzania, ila inaonyesha serikali hailioni hili.
Barabara ina hitaji kuongezwa njia ili kupunguza foleni na muda wa kukaa bsrabsrani.
Tunapokaribisha wawekezaji bandarini, ili kurahidisha utoaji mizigo, basi uende ssmbamba na upanuzi wa barabara hii.
Kwa sasa barabara hii, Unaweza kupoteza hadi masaa mawili hadi, matatu kwenye folen8i.
SIku nyingine foleni huanzia Buguruni mataa, hadi River side kwa magari yanayoelekea bandarini.
Na yale yanayotoka bandarini, foleni huanzia daraja la kijazi hadi kurasini.
Makutano ya barabara pale Tabata na Buguruni ni sehemu ya kirusi katika barabara hii.
Nawakumbusha tu serikali, hii barabara itazamwe, maana ndiyo lango la uchumi.