Recent content by MUBIKU

  1. MUBIKU

    Nimelipwa deni langu Tsh. Milioni 1.3 baada ya miezi 6. Nifanye uwekezaji gani?

    Wana jamvi msaada wa mawazo. Kuna sehemu nilidai pesa yangu zaidi ya miezi 6, hatimae leo wamenilipa. Naomba ushauri niifanyie uwekezaji au/ biashara gani ambayo itazalisha na kuongeza thamani ya pesa. Malipo yenyewe ni madogo tu ni milion1 na laki tatu, eneo nililopo ni Mwanza tayari...
  2. MUBIKU

    TANESCO ibinafsishwe kwa muwekezaji maana haina tija kwa taifa na msaada kwa Watanzania

    Mada hii ianzishwe maalum kwa manufaa yetu sisi wananchi toachane na bandari ambayo inaweza pia ikawa inatusadia au haitusadii, tuachane na mchakato wa katiba, tujikite kwenye mchakao wa kubinafsisha TANESCO na Shirika la maendeleo la petroli TPDC, uchumi wowote wa nchi duniani unaanza na sekta...
  3. MUBIKU

    Mashirika au sekta zinazotakiwa kupewa wawekezaji

    Habari za wakati huu, moja kwa moja niende kwenye mada kama ambavyo kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Nadhani umefika sasa wakati ambapo sisi wananchi na watanzania inabidi tuanzishe mjadala wa kitaifa juu ya maswala yanayogusa uchumi wetu, Rasilimali zetu na maisha kiujumla, na...
  4. MUBIKU

    Mita za maji MWAUWASA Mwanza ni tatizo

    Habar za muda huu, ni kipind cha miez 11 sasa tangu niombe kuonganishiwa huduma ya maji Mkoa wa Mwanza, kila nikienda ofisini naambiwa mita hazipo na hazijafika, kama mmeshindwa kutunganisha maji kwa mita zenu, basi mruhusu wawekezaji na supplier wafanye hivyo. Mbona mita hizo zimejaa kwenye...
  5. MUBIKU

    Radiator (rejeta) Toyota Premio

    Waakuu habar zenu!, Gari yangu inatatizo la kuvuja maji, baada ya uchunguzi mdogo nimebaini maji hayo yanavuja sehem ya Radiator (RAJETA) ,Naomba kujua gharama za i/Ufundi endapo ataiziba. ii/Kununua Radiator mpya na kuifunga. Niko Mwanza , natumain mafundi wazur mpo humu nitapata ushauri...
  6. MUBIKU

    Car security alarm system

    Habar za mida hii, fika mmechoka toka mihangaikoni lakin pia polen kwa mgao wa umeme unaoendelea. Kama hapo juu mada inavyokieleza naomba kufaham, umuhimu wa CAR SECURITY SYSTEM, UBORA NA MADHAIFU YAKE PIA GHARAMA ZA KUNUNUA KIFAA HICHO NA MALIPO YA FUNDI ATAKAPOKUFUNGIA KWENYE GARI LAKO...
  7. MUBIKU

    Rasmi kwa ridhaa yangu mwenyewe nimeamua kuacha pombe Eeeh Mwenyezi Mungu nisaidie

    Haya Tupe mrejesho wa kauli yako hii uliojiapiza mnamo Tarehe 1/7/2022 , umefikia wapi?_ mana m mwenzio nakunywa kama Catalyst au booster tu sio kulewa hovyo na kuwa mpumbavu kama ulivyokuwa wewe# nipe mrejesho nikupe Code.
  8. MUBIKU

    Hii ikoje kwa Premio (F) 1490?

    Unaenda Umbali wa KM ngapi Mkuu?
  9. MUBIKU

    Kabidhi Imani yako kwa Marafiki ila siyo Ndugu wenye Chuki, Dharau na Unafiki

    Tuache kudanganya "Hakuna mwema kwenye maisha" it all matter of instrest.
  10. MUBIKU

    Hii ikoje kwa Premio (F) 1490?

    MREJESHO!, Baada ya kupata mawazo mengi na uzoefu wenu! Nimeshuhudia kuwa lita 10 kwa premio f , zimeweza kutembea KM 138. Hakika tuwe makini tunapowekewa mafuta sheli. Kwa hesabu rahis nimetumia lita 8.65 za petrol kwa Umbali wa KM 138, Kwa mantiki hiyo Gari inauwezi wa kutembea KM 16 Per Litre.
  11. MUBIKU

    Kwanini Toyota Premio siku hizi zinapendwa sana?

    Tatizo la Allion bodu yake ni maplastic mengi, yanawahi kutepeta hasa bumper za mbele na Nyumba. Tofauti na Premio.
  12. MUBIKU

    Kwanini Toyota Premio siku hizi zinapendwa sana?

    Mkuu hata yangu pia inatatizo hilo, service ulioshauri ifanyike ni ipi haswa?.
  13. MUBIKU

    Kumridhisha kila mwanadamu, ndugu au watu wako wa karibu ni shughuli ambayo hata mitume walishindwa enzi na enzi

    Ni swala la muda tu ndugu , kikubwa panga malengo alafu pambania ndoto zako.
  14. MUBIKU

    Kumridhisha kila mwanadamu, ndugu au watu wako wa karibu ni shughuli ambayo hata mitume walishindwa enzi na enzi

    Kama kichwa cha habar hapo juu kinavyojieleza, sina neno la kuongeza, kifupi namshukuru Mungu kwa kutimiza miaka 31 ya umri wangu, huku nikiwa nimetimiza 85% ya malengo niliyojiwekea tangu napata balehe. Hakika Mungu ni mwema sana, hivyo ikiwa kama maadhimio ya umri huu wa miaka 31...
Back
Top Bottom