Mita za maji MWAUWASA Mwanza ni tatizo

MUBIKU

JF-Expert Member
Oct 24, 2014
276
376
Habar za muda huu, ni kipind cha miez 11 sasa tangu niombe kuonganishiwa huduma ya maji Mkoa wa Mwanza, kila nikienda ofisini naambiwa mita hazipo na hazijafika, kama mmeshindwa kutunganisha maji kwa mita zenu, basi mruhusu wawekezaji na supplier wafanye hivyo.

Mbona mita hizo zimejaa kwenye maduka binafsi kama pale kwa zongi na amadeus
Mama samia na waziri wa maji naomba mliangalie hili mbali na huduma ya maji kuonganishiwa kwetu sisi wana nchi ni Haki yetu ila kinachofanyika ofisi za maji Jijini Mwanza (MWAUWASA) ni uhujumu uchumi wa nchi na kuisababishia hasara Serikali ambapo ofisi ya CAG inabidi ije imulike hapo.
 
Back
Top Bottom